Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
 
Attachments

  • globalpublishers_20220402_1.mp4
    3.9 MB
Kweli kumwita magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Relax mkuu, mambo mengine let's it go usiwe very serious, President Samia amejaribu sana kuleta kitu ambacho watanzania wengi hatukuwa nacho, inaonekana sisi timeshares maisha ya kuburuzwa ulioandamana na ukatili but our President now anatufungulia njia tofauti kabisa na watangulizi wake, welldone my President ILA binafsi ccm siwapendi maana wameivuruga nchi mno,...tuna haki ya to disagree
 
Kweli kumwita magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Mtu wa pwani yule!.Fuatilia mapigo ya sauti(intonation)alivyoitamka hiyo "Simba wa Yuda"!Hutopata shida.
 
Back
Top Bottom