Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Hamjaelewa bado ila siku moja mtajua, endeleeni kujipendekeza hata kama mnakuwa rejected !
 
Relax mkuu, mambo mengine let's it go usiwe very serious, President Samia amejaribu sana kuleta kitu ambacho watanzania wengi hatukuwa nacho, inaonekana sisi timeshares maisha ya kuburuzwa ulioandamana na ukatili but our President now anatufungulia njia tofauti kabisa na watangulizi wake, welldone my President ILA binafsi ccm siwapendi maana wameivuruga nchi mno,...tuna haki ya to disagree
Hakuna anayekataa kwamba Rais Samia anaponyesha majeraha yaliyoletwa na awamu zilizopita hususani ya tano lakini Simba wa Yuda si jina la kumfananisha na mwanadamu.
 
Hakuna anayekataa kwamba Rais Samia anaponyesha majeraha yaliyoletwa na awamu zilizopita hususani ya tano lakini Simba wa Yuda si jina la kumfananisha na mwanadamu.


Sasa Mbona huyo Yesu hapo mnamfanisha na "Mnyama Simba"--- kipi bora Yesu afananishwe na mtu au afananishwe na mnyama wa porini??!😀
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli h

Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.

Rais Samia alikuwa Delila wa kwenye bibilia kwenye uongozi wa Simba wa Yuda​

 
Screenshot_20220402-125000.png
 
Naomba nikili udhaifu huu nilio nao Mimi

Uwa napenda sana kuwasikiliza viongozi wetu, uwa nachukua muda mwingi kutafakari Kila wanachokisema.

Nimetangulia kusema ni udhaifu wangu maana unaweza ona nachukua muda mrefu kuwa najadiri neno moja baada ya jingine lilirotamkwa na watawala nasema watawala na sio viongozi.

Mfano kauli ya Mama yetu Samia kumuita Magufuli yakuwa alikuwa ni Simba wa Yuda ni kumfananisha na Yessu Kristi Ili ni kosa kubwa sana

Magufuli hakuwa Simba wa Yuda na hatokuwa walio muita hivyo ni wazindaki walio taka wapewe uraji.

Leo hii Mama Samia anamuita Magufuli Simba wa Yuda Tena kwa kumkashifu,sio kwa kumsifia anamuita Simba wa Yuda Alie ponya wagonjwa na kufia wenye dhambi?
Leo hii Simba wa Yuda Yessu unamfananisha na Magufuli kikashifa?mama umeanza kumkashifu Yessu kiristo ni kiburi Cha Uongozi hama ?
Yessu kiristo alimtisha nani?Simba wa Yuda alimtisha nani?

Mafuguli alikuwa mtu, kama watu wengine hawezi fananishwa na Simba wa Yuda nimwimbae kwenye nyimbo

Ewe unae soma Uzi huu imba kawimbo haka ka SImba wa Yudaa..........
Simba wa Yuda.....
 
Okay basi tumuite Simba wa Burigi
 
Wewe ni mkristo? Au unadandia treni front. Sisi wenyewe wakristo tumeona poa tu we wa dini ya mataifa unalalamika.
Hapana wewe si mkristo wa kweli. Mimi ninaemwamini Yesu Kristo. Ninaposema Simba wa Yuda. Ninapata upako kabisa. Niliposikia anafananishwa na Magufuli kweli nilipata sikitiko kwa kweli.
 
Back
Top Bottom