Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Wewe utakuwa,ni mkristo fake maana mnasemaga Mungu hapiganiwi anajipigania mwenyewe
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.

Kwanza Diamond alishawaomba msamaha kwa kumuimba Yesu Mkombozi kwenye wimbo wake wa Ongeza?
 
Acha uongo wewe. Kawawa aliitwa Simba wa vita. Unapata nini kuandika uwongo kama huu ?Ushindwe kabisa na ulegee
Matumizi ya maneno Simba ya Yuda yasiwe ni nongwa ya kuonyesha hasira yako kwa SSH.

JPM aliwaambia watu kama hawana nauli ya kulipa pale Kivukoni wapige mbizi, na yeye ulimuanzishia uzi kama huu wa kumsema vibaya?.
 
Back
Top Bottom