Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Sasa Mbona huyo Yesu hapo mnamfanisha na "Mnyama Simba"--- kipi bora Yesu afananishwe na mtu au afananishwe na mnyama wa porini??!😀
Simba wa Yuda. Umeelewa hapo ?
 
Kwahiyo Yesu alikuwa ni kwa ajili ya hilo kabila la Yuda??!!---- na vipi yule Yuda Escariote??

Hapana wewe si mkristo wa kweli. Mimi ninaemwamini Yesu Kristo. Ninaposema Simba wa Yuda. Ninapata upako kabisa. Niliposikia anafananishwa na Magufuli kweli nilipata sikitiko kwa kweli.
Hongera kwa kuilinda imani maneno kutoka 2Timetheo 4:7 yanakufaa sana siku ya kutwaliwa kwako. Utakuja kushangaa viongozi wa dini wanaitetea kauli hiyo
 
Itamgharimu. Hata Nwendakuzimu alipofananishwa nae na wajinga wengi akiwemo Kenge Lugoye Simba alimmaliza!
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.

Rais sijui kwanini huwa kila akiongea ana haribu?
IMG_0754.jpg
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.

Sasa unauhakika huyo samia yuko hapa jf?
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Duh! Pure semantics. She doesn't know what the name "Simba wa Yuda" means.
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Kawawa aliitwa Simba wa Yuda, alikuwa na utukufu upi wenye kufanana na Yesu?. Mbona jina lake lilidumu na hakuna hata mmoja aliyeleta nongwa za kujifanya anamjua sana Yesu?.
 
Ufunuo 5:5 Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia,Usilie;tazama Simba aliye wa kabila ya Yuda,Shina la Daudi,yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu,na zile muhuri zake saba.
Alikuwa anampiga dongo JPM. Ni mambo ya kawaida kwenye siasa.
 
Kwahiyo Yesu alikuwa ni kwa ajili ya hilo kabila la Yuda??!!---- na vipi yule Yuda Escariote??!!
yuda si jina tu bali ni kabila pia. Huyo yuda iskariyote ni jina lake la kwanza kulikuwa na yuda wengi ndio maana yule alitambuliwa kama yuda iskariote. Ila simba wa yuda ni moja tu YESU AITWAE KRISTO
 
Back
Top Bottom