Si bora nidhamu ya uoga,kuliko kutokuwa na nidhamu kabisa. With nidhamu ya uoga malengo yanatimizwa .Badala ya kujadili hoja ya msingi ya nidhamu ya uoga ambayo aliiasisi jamaa badala yake mnakimbilia kwenye udini wa simba wa Yuda of which has got nothing to do with Christianity [emoji3583]
Ubaradhuli gani?Wacha ubaradhuli!
Si bora nidhamu ya uoga,kuliko kutokuwa na nidhamu kabisa. With nidhamu ya uoga malengo yanatimizwa .
Wewe unajuwa ulitendalo usisamehewe. Yesu hana nguvu ya kumsamehe yeyote, tena nyinyi mnatumia jina lake ndiyo atawafukuza atawaambia ondokeni hapa, siwajui mimi.Yesu akusamehe hujui ulitendalo
Tuacheni ujuaji huwezi ukaingia kwenye dhamiri ya mtu uone hiyo niadhamu ya upendo..Hapana,
Kwanini iwe kwa nidhamu ya uoga ?
Kwanini isitokane na ridhaa ya nafsi ya mtu au watu?
Nidhamu ya woga huwa haisaidii na huleta madhara!
Achana na imani za watu wewe ushawahi kuona binadamu wa kawaida anajifufua??Wewe unajuwa ulitendalo usisamehewe. Yesu hana nguvu ya kumsamehe yeyote, tena nyinyi mnatumia jina lake ndiyo atawafukuza atawaambia ondokeni hapa, siwajui mimi.
Binadam mwenzio anaeenda chooni kama wewe akusamehe dhambi zak? Ujuha huo.
Aibu yako mwenyeweMagufuli alikuwa mtu na nusu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kuna rais aliepita anaetajwa kama Magu ukiamuacha Nyerere?
Mambo hayaendi kabisa bila kumtamka huyu mtu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Unaleta theories za kipuuzi kumtetea SHETANI wenu.Tuacheni ujuaji huwezi ukaingia kwenye dhamiri ya mtu uone hiyo niadhamu ya upendo..
Pili tusome ndio tujadili hakuna tunataka kuwa kama Japan, Marekani, China , Russia huku
unawachekea wazembe haitakaa itokee.
Hata huyo anayewsema nidhamu ya uoga anasema hivyo kwa sababu hana cha kupoteza \
kwa mwananchi wa chini ambaye anampeleka mgonjwa hospitalini akapokelewa na daktari kwa hiyo nidhamu ya
uoga ni msaada tosha.
Msomeni hata machiavelle jaman kiongozi unatakiwa uogopwe ndio upendwe sio upendwe tu,
ili unachoagiza watu watekeleze.
TUMEELEWA ALICHOKUWA ANATAKA KUMAANISHA HATUNA TATIZO HAYA NI MAMBO MADOGO MADOGO TU,AMBAYO YOYOTE ANAWEZA KUTELEZA TU.Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Umeandika upupiNimeisikia kauli ya Rais Samia kuhusu Simba wa Yuda na kiukweli sijaona ukakasi wowote.
Simba wa Yuda ni aina tu kama ilivyo Simba wa Teranga au Simba Wasiofugika pale Cameron.
Yesu Kristo anatambulika kama Simba wa Kabila la Yuda.
Sijaona popote Rais Samia alipomtaja Simba wa Kabila la Yuda.
Tupunguze mihemuko kama alivyotuasa Freeman Mbowe!
Maendeleo hayana vyama.
Hujui kitu weweBinafsi mimi nimkristo, hakuna kashafa yeyote aliyosema mama. Ila mama alitaka kusema msiwe na utamaduni wa kufanya kazi kwa kuogopa mtu ila tumieni busara zenu.
Ile ni nafsi ya kipekee iliyokuja kwa dhumuni maalumu huku imevaa mwili wa kibinadaamu,the same malaika anapojivisha mwili wa ombaomba ili akujaribu.Wewe unajuwa ulitendalo usisamehewe. Yesu hana nguvu ya kumsamehe yeyote, tena nyinyi mnatumia jina lake ndiyo atawafukuza atawaambia ondokeni hapa, siwajui mimi.
Binadam mwenzio anaeenda chooni kama wewe akusamehe dhambi zak? Ujuha huo.
Wakristo vita vya Yesu huwa tunamwachia Yeye Aliye Simba wa Kabila la Yuda.
Unakumbuka Lugola alimwiita JPM Yesu na wala JPM mwenyewe alipokea sifa hizo bila kumkemea Lugola?
Wakristo hatuwezi kumpambania Yesu yeye ndiye atupambaniaye.
Asimbe radhi asubiri majibu
Mungu gani hutetewa mkuu?Umejibu vyema sana... ingekua wao wavaa kobasi mnyazi mngu wao angeguswa au mwamedi wangempambania.
Ufunuo wa Yohana 5:1-5
1 Kisha nikaona katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, kimetiwa muhuri saba.
2 Nikaona malaika mwenye nguvu akihubiri kwa sauti kuu, N'nani astahiliye kukifungua kitabu, na kuzivunja muhuri zake?
3 Wala hapakuwa na mtu mbinguni, wala juu ya nchi, wala chini ya nchi, aliyeweza kukifungua hicho kitabu, wala kukitazama.
4 Nami nikalia sana kwa kuwa hapakuonekana mtu astahiliye kukifungua hicho kitabu, wala kukitazama.
5 Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia, Usilie; tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, Shina la Daudi, yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu, na zile muhuri zake saba.
Wenzio wavaa kobasi na wapaka hina ndevu huwa wanamfia mnyazi mngu wao na mwamedi... ukitaka kuijua nyonyo ya FaizaFoxy mguse mnyazi mngu wake.Mungu gani hutetewa mkuu?
Tunaposema Mungu yuko juu ya yote lazima ajitetee mwenuewe.
Mimi binafsi ni mtetezi mzuri wa wanawake na watoto sababu ni dhaifu.
Sasa na ninayemwamini kama Mungu naye ni mtetee?
Aah ajitetee mwenyewe.
Ushaambiwa kikristo Simba wa Yuda humrejelea Yesu unaleta ligi yanini?Narudia tena swali; Ni wapi pameandikwa kwamba Simba wa Yuda ni Yesu???!!