Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Naona analewa mvinyo wa madaraka,ngoja atoke hapo watamponda hadi hataamini...
 
Mtu wa pwani yule!.Fuatilia mapigo ya sauti(intonation)alivyoitamka hiyo "Simba wa Yuda"!Hutopata shida.
Narudia, haitotokea raisi WA nchi hii stole pwani au awe muislamu asipate misukosuko ya kila namna. Nyerere aliwahi kutania mashekhe Kwa kulitamka neno 'astaghafirullah (sijui lonaandika hivyo?) kuwa walitamka hivyo hao mashekhe pale aliposema nchi yetu haina dini. Hakukuwa na shida yoyote zaidi ya vocheko Tu na burudani. Leo mama kidogo Tu, threads km zote za kuponda. Shida dini hiyo, hayo mengine ni zuga tu
 
Nimeisikia kauli ya Rais Samia kuhusu Simba wa Yuda na kiukweli sijaona ukakasi wowote.

Simba wa Yuda ni aina tu kama ilivyo Simba wa Teranga au Simba Wasiofugika pale Cameron.

Yesu Kristo anatambulika kama Simba wa Kabila la Yuda.

Sijaona popote Rais Samia alipomtaja Simba wa Kabila la Yuda.

Tupunguze mihemuko kama alivyotuasa Freeman Mbowe!

Maendeleo hayana vyama.
 
Relax mkuu, mambo mengine let's it go usiwe very serious, President Samia amejaribu sana kuleta kitu ambacho watanzania wengi hatukuwa nacho, inaonekana sisi timeshares maisha ya kuburuzwa ulioandamana na ukatili but our President now anatufungulia njia tofauti kabisa na watangulizi wake, welldone my President ILA binafsi ccm siwapendi maana wameivuruga nchi mno,...tuna haki ya to disagree
mama samia mimi binafsi nimemkubali katika nyanja zote za utendaji wa kazi. Ila kwa hili la kutaka watumishi wa serikali wawe na nidhamu ya moyoni naomba aliangalie upya.i. watumishi wa umma lazima wawe na nidhamu ya woga ili waogope kuiba na kuchelewa kazini. mwaka 1986 nilifanya field work bank kuu arusha wakati world cup inachezwa . tulikwenda kantini kustaftahi wafanyakazi waliweka kijiwe cha world cup toka saa nne mpaka saa nane! ukija serikalini ndo kuna mikataba ya kutisha inawekwa,watumishi hewa kulipwa,,imprest hazirejeshwi,safari za nje ndo part of life, . ukija katika mashirika ya umma kuna posho za kijinga sana mpaka tender comitee ina posho, Xmass gift kwa mabosi na mabody members zinatisha,. Ulaya na marekani kuna nidhamu ya woga kila sehemu ya kazi za umma. watu hawatoki vitini, hakuna kijiwe ofisini, posho na salary Advance hakuna kabisaa maofisini , Xmass gift tumia mshahala wako ugawe ili nawe ugawiwe!
 
Narudia, haitotokea raisi WA nchi hii stole pwani au awe muislamu asipate misukosuko ya kila namna. Nyerere aliwahi kutania mashekhe Kwa kulitamka neno 'astaghafirullah (sijui lonaandika hivyo?) kuwa walitamka hivyo hao mashekhe pale aliposema nchi yetu haina dini. Hakukuwa na shida yoyote zaidi ya vocheko Tu na burudani. Leo mama kidogo Tu, threads km zote za kuponda. Shida dini hiyo, hayo mengine ni zuga tu
Binafsi mimi nimkristo, hakuna kashafa yeyote aliyosema mama. Ila mama alitaka kusema msiwe na utamaduni wa kufanya kazi kwa kuogopa mtu ila tumieni busara zenu.
 
Binafsi mimi nimkristo, hakuna kashafa yeyote aliyosema mama. Ila mama alitaka kusema msiwe na utamaduni wa kufanya kazi kwa kuogopa mtu ila tumieni busara zenu.
Exactly, hiyo ndo hoja kuu katika muktadha ule. Nafikiri ni mawazo ya waliokosa hoja na sasa ni wanataka kupata faraja katika migongano isiyo na tija wala mwisho ya kidini!
 
mama samia mimi binafsi nimemkubali katika nyanja zote za utendaji wa kazi. Ila kwa hili la kutaka watumishi wa serikali wawe na nidhamu ya moyoni naomba aliangalie upya.i. watumishi wa umma lazima wawe na nidhamu ya woga ili waogope kuiba na kuchelewa kazini. mwaka 1986 nilifanya field work bank kuu arusha wakati world cup inachezwa . tulikwenda kantini kustaftahi wafanyakazi waliweka kijiwe cha world cup toka saa nne mpaka saa nane! ukija serikalini ndo kuna mikataba ya kutisha inawekwa,watumishi hewa kulipwa,,imprest hazirejeshwi,safari za nje ndo part of life, . ukija katika mashirika ya umma kuna posho za kijinga sana mpaka tender comitee ina posho, Xmass gift kwa mabosi na mabody members zinatisha,. Ulaya na marekani kuna nidhamu ya woga kila sehemu ya kazi za umma. watu hawatoki vitini, hakuna kijiwe ofisini, posho na salary Advance hakuna kabisaa maofisini , Xmass gift tumia mshahala wako ugawe ili nawe ugawiwe!
"Nawaombeni nendeni mkakae mlitizame".

Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika.

Kazi iendelee.......
 
Achana na huyo Yezebeli, atakuumiza bure...Atajibiwa na Mungu wa kweli
 
Si dhambi, Simba wa yuda sio issue, atamke tu, si kweli kama kuna mtu anakereka, ni kawaida sana, kuna watu waitwa yesu ndio itakuwa Simba wa yuda!
 
Kuna mtu aliwahi kuitwa mungu sijui anajibu nini huko alipo sasa hivi.
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Kutoweza kustep aside wakati unaona kiongozi anakuburuza huo sio uchumba ni ubinafsi na uroho wa madaraka hakuna uzalendo kuendelea kutumikia serikali ambayo hauathiki kinachofanyika.....kwa civil servants wote (house negros)
 
Attachments

  • VID-20220402-WA0073.mp4
    7.4 MB
Badala ya kujadili hoja ya msingi ya nidhamu ya uoga ambayo aliiasisi jamaa badala yake mnakimbilia kwenye udini wa simba wa Yuda of which has got nothing to do with Christianity [emoji3583]
 
Tujadili kuwa ni kweli kuwa wakati wa uongozi wa jamaa nidhamu ya uoga ilitamalaki sana.

Je madhara yake yalikuwa yepi?

Yapo Tena mengi na mazito [emoji108]

Watu walikuwa wakiongea kidogo tu wanatishiwa kupotezwa n.k.

Nchi ilijaa hofu kila mahali!
 
M
Wewe ni mkristo? Au unadandia treni front. Sisi wenyewe wakristo tumeona poa tu we wa dini ya mataifa unalalamika.
Mbona hakulalamika Palamgomba aliposema mtukufu Mungu.
 
Back
Top Bottom