Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia, haitotokea raisi WA nchi hii stole pwani au awe muislamu asipate misukosuko ya kila namna. Nyerere aliwahi kutania mashekhe Kwa kulitamka neno 'astaghafirullah (sijui lonaandika hivyo?) kuwa walitamka hivyo hao mashekhe pale aliposema nchi yetu haina dini. Hakukuwa na shida yoyote zaidi ya vocheko Tu na burudani. Leo mama kidogo Tu, threads km zote za kuponda. Shida dini hiyo, hayo mengine ni zuga tuMtu wa pwani yule!.Fuatilia mapigo ya sauti(intonation)alivyoitamka hiyo "Simba wa Yuda"!Hutopata shida.
mama samia mimi binafsi nimemkubali katika nyanja zote za utendaji wa kazi. Ila kwa hili la kutaka watumishi wa serikali wawe na nidhamu ya moyoni naomba aliangalie upya.i. watumishi wa umma lazima wawe na nidhamu ya woga ili waogope kuiba na kuchelewa kazini. mwaka 1986 nilifanya field work bank kuu arusha wakati world cup inachezwa . tulikwenda kantini kustaftahi wafanyakazi waliweka kijiwe cha world cup toka saa nne mpaka saa nane! ukija serikalini ndo kuna mikataba ya kutisha inawekwa,watumishi hewa kulipwa,,imprest hazirejeshwi,safari za nje ndo part of life, . ukija katika mashirika ya umma kuna posho za kijinga sana mpaka tender comitee ina posho, Xmass gift kwa mabosi na mabody members zinatisha,. Ulaya na marekani kuna nidhamu ya woga kila sehemu ya kazi za umma. watu hawatoki vitini, hakuna kijiwe ofisini, posho na salary Advance hakuna kabisaa maofisini , Xmass gift tumia mshahala wako ugawe ili nawe ugawiwe!Relax mkuu, mambo mengine let's it go usiwe very serious, President Samia amejaribu sana kuleta kitu ambacho watanzania wengi hatukuwa nacho, inaonekana sisi timeshares maisha ya kuburuzwa ulioandamana na ukatili but our President now anatufungulia njia tofauti kabisa na watangulizi wake, welldone my President ILA binafsi ccm siwapendi maana wameivuruga nchi mno,...tuna haki ya to disagree
yeye katoa wapi hiyo kauli ya simba wa yuda kaokota?Hivi ni wapi imeandikwa Simba wa Judah ni Yesu??!!
Ni escariotKama Simba ni Yesu na huyo Yuda ni nani??
Binafsi mimi nimkristo, hakuna kashafa yeyote aliyosema mama. Ila mama alitaka kusema msiwe na utamaduni wa kufanya kazi kwa kuogopa mtu ila tumieni busara zenu.Narudia, haitotokea raisi WA nchi hii stole pwani au awe muislamu asipate misukosuko ya kila namna. Nyerere aliwahi kutania mashekhe Kwa kulitamka neno 'astaghafirullah (sijui lonaandika hivyo?) kuwa walitamka hivyo hao mashekhe pale aliposema nchi yetu haina dini. Hakukuwa na shida yoyote zaidi ya vocheko Tu na burudani. Leo mama kidogo Tu, threads km zote za kuponda. Shida dini hiyo, hayo mengine ni zuga tu
soma ufunuo wa yohana 5:5Hivi ni wapi imeandikwa Simba wa Judah ni Yesu??!!
Exactly, hiyo ndo hoja kuu katika muktadha ule. Nafikiri ni mawazo ya waliokosa hoja na sasa ni wanataka kupata faraja katika migongano isiyo na tija wala mwisho ya kidini!Binafsi mimi nimkristo, hakuna kashafa yeyote aliyosema mama. Ila mama alitaka kusema msiwe na utamaduni wa kufanya kazi kwa kuogopa mtu ila tumieni busara zenu.
"Nawaombeni nendeni mkakae mlitizame".mama samia mimi binafsi nimemkubali katika nyanja zote za utendaji wa kazi. Ila kwa hili la kutaka watumishi wa serikali wawe na nidhamu ya moyoni naomba aliangalie upya.i. watumishi wa umma lazima wawe na nidhamu ya woga ili waogope kuiba na kuchelewa kazini. mwaka 1986 nilifanya field work bank kuu arusha wakati world cup inachezwa . tulikwenda kantini kustaftahi wafanyakazi waliweka kijiwe cha world cup toka saa nne mpaka saa nane! ukija serikalini ndo kuna mikataba ya kutisha inawekwa,watumishi hewa kulipwa,,imprest hazirejeshwi,safari za nje ndo part of life, . ukija katika mashirika ya umma kuna posho za kijinga sana mpaka tender comitee ina posho, Xmass gift kwa mabosi na mabody members zinatisha,. Ulaya na marekani kuna nidhamu ya woga kila sehemu ya kazi za umma. watu hawatoki vitini, hakuna kijiwe ofisini, posho na salary Advance hakuna kabisaa maofisini , Xmass gift tumia mshahala wako ugawe ili nawe ugawiwe!
Kutoweza kustep aside wakati unaona kiongozi anakuburuza huo sio uchumba ni ubinafsi na uroho wa madaraka hakuna uzalendo kuendelea kutumikia serikali ambayo hauathiki kinachofanyika.....kwa civil servants wote (house negros)Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Mbona hakulalamika Palamgomba aliposema mtukufu Mungu.Wewe ni mkristo? Au unadandia treni front. Sisi wenyewe wakristo tumeona poa tu we wa dini ya mataifa unalalamika.
Huyo hana sharubu..!..Mimi mwenyewe nimeshangaa sana. Kwani angemuita Simba wa Chato angepungukiwa nini!