Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Yes... mnyazi mngu wao ni fekiWatu dhaifu na wanayemwamini ni dhaifu vile vile.
Wamejaa gharabu kuubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes... mnyazi mngu wao ni fekiWatu dhaifu na wanayemwamini ni dhaifu vile vile.
Wamejaa gharabu kuubwa
Huo ndio ukweli hakuana nchi inayoendekeza ujinga..Unaleta theories za kipuuzi kumtetea SHETANI wenu.
yeye katoa wapi hiyo kauli ya simba wa yuda kaokota?
Imani ya kqenda kupewa wanawake wenye macho makubwa akhera...Yes... mnyazi mngu wao ni feki
Sisi na nani? wacha kujumuisha wakristo wengine kwenye upumbaf wako.Wewe ni mkristo? Au unadandia treni front. Sisi wenyewe wakristo tumeona poa tu we wa dini ya mataifa unalalamika.
Ushaambiwa kikristo Simba wa Yuda humrejelea Yesu unaleta ligi yanini?
Hakunaga Mkristu anayeendekeza ligi Za kijinga jinga hvi.Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
soma ufunuo wa yohana 5:5
revelation 5:5
Kuua watu zimekuwa akili, wewe sabaya vipi asee 😀Huo ndio ukweli hakuana nchi inayoendekeza ujinga..
By the way shetani anaakili kukuzidi wewe so relax.
Ndo maana humpambania Allah wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imani ya kqenda kupewa wanawake wenye macho makubwa akhera...
Juzi nimemaikia Yule shehw mmpendwa misambwanda amesema na huko mito ya pombe itatoa pombe nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata Haile Selassie,aliyekuwa Rais wa Ethiopia,akiitwa Simba wa Yuda(Lion of Juda)na mpaka leo anaitwa jina hilo,na alikuwa ni mkristo,mbona hakulipinga jina hilo,wala hakuna aliyepinga,asiitwe hivyo.Na nchi ya Ethiopia ndio ya kikristo ya kwanza,kuliko nchi zote za kiafrika.Na Ethiopia,hawakupelekewa ukristo na Wazungu,wao ni wakristo wa asili,Ukristo wa Orhodox,sio wa kupelekewa,kama nyinyi wa huku Tanzania,wa kuletewa na wazungu.Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Ni sawa haikuwa sahihi. Lakini wakati wa .....aliposema awe mkuu wa malaika mbona hamkipiga kelele, watu walimwita Yesu, wengine Mungu amshukuru ..... Kimya. Mama hukutenda haki kufanaanisha Simba wa Yuda. Inginekuwa Imani nyingine leo maandamano, lakini Mungu wa amani kawatuliza Wakristo wavumilie maana yanapita kama upepo.Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Hilo jina la Simba wa Yuda,hata Haile Selassie,ameitwa jina la Lion of Juda,toka miaka ya 1960,yeye ni mkristo wa Orthodox,mbona hakulipinga wala hakukuwahi mkristo yoyote duniani kupinga.Na mpaka Hivi sasa anaitwa Simba wa Yuda.Ni sawa haikuwa sahihi. Lakini wakati wa .....aliposema awe mkuu wa malaika mbona hamkipiga kelele, watu walimwita Yesu, wengine Mungu amshukuru ..... Kimya. Mama hukutenda haki kufanaanisha Simba wa Yuda. Inginekuwa Imani nyingine leo maandamano, lakini Mungu wa amani kawatuliza Wakristo wavumilie maana yanapita kama upepo.
Atuombe msamaha; au la sivyo tumuombee Bwana amkemee!Usiogope.
Bwana Yesu KRISTO atajitetea mwenyewe.
Biblia haiwezi kuwa nyepesi inayotafuna herufi kwa herufi. Kuna vitabu vya kinabii mfano cha Ufunuo wa Yohana ambacho kama huna Roho wa Bwana kukufunulia huwezi kuelewa.Narudia tena swali; Ni wapi pameandikwa kwamba Simba wa Yuda ni Yesu???!!
Ohooooooo !!!!Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Na hasa simba wa burigiMimi mwenyewe nimeshangaa sana. Kwani angemuita Simba wa Chato angepungukiwa nini!
Huyo mfalme Selasie hilo jina LA simba alipewa na wazazi wake? Hujui pia alikuwa anajiita mfalme wa wafalme au Utatu mkuu au Aliyeteremshwa na mungu? Huoni kabisa majina yote aliyokuwa anajiita ni makufuru? Najua hujui lakini omba toba kabla ghadhabu ya Mungu haijakuwakia ndani yako.Lete ushahidi hapa, wewe ndiye unayetaka kuleta ligi Bila ushahidi.
Ras Tafari (Haile Selassie) yule Emperor wa Ethiopia ndiye anayeitwa Lion of Judah na ushahidi upo, sasa wewe leta ushahidi wa Biblia kwamba Yesu ndiye Lion of Judah na sio kelele hapa.