FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Katafute wewe sehemu inayotakiwa, sasa hakuna cha simba wa sharubu. Wacheni uoga wa kijinga. Kwisha wakati wake.Discussion siyo kifo bali matumizi ya هيافوs sehemu isiyotakiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katafute wewe sehemu inayotakiwa, sasa hakuna cha simba wa sharubu. Wacheni uoga wa kijinga. Kwisha wakati wake.Discussion siyo kifo bali matumizi ya هيافوs sehemu isiyotakiwa.
Mtabishana sana, Yesu hajawahi kuwa mfalme wa Wayahudi na hakuna aliywahi kuwa mfalme wa Wayahudi. Nani zaidsi ya haile selassie ndiye aliyekwa mfalme na ni simba wa yuda aliyefia kwenye banda la ng'ombe.Wewe umeona pameandikwaje? Ukiona huelewi ujue huna cha kukuelewesha ndani yako. Ndiyo ninyi mliambiwa mkikwama muwaulize watu wa kitabu.
Yohana aliona yule anayetakiwa akifungua kitabu ni simba wa yuda pekee na pale ni mtu anazungumziwa sasa kama si YESU BASI NI NANI MWINGINE AMBAYE NI ALAMA SAHIHI YA KIAMA?
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Mtabishana sana, Yesu hajawahi kuwa mfalme wa Wayahudi na hakuna aliywahi kuwa mfalme wa Wayahudi. Nani zaidsi ya haile selassie ndiye aliyekwa mfalme na ni simba wa yuda aliyefia kwenye banda la ng'ombe.
kwa zako wewe, tuambie lini Yesiu alikuwa mfalme wa Wayahudi? Simba wa Yuda (Wayahudi) ni nembo ya Kifalme wewe. Nembo hiyp wa mwisho kuitumia "official" alikuwa Haile Sellasie wa Ethiopia.Kweli kabisa kwa akili kama zako za kuvukia road
Kwani aliwaambia huyo yuda aliye mtaja yeye alikuwa ni simba wa yuda gani maana hata sisi hapa mtaani kwetu kuna mzee yuda acheni kukuza mambo.
Kama Mkristo na- support kazi anayofanya Mama nchi hii lakini siwezi kusema binadamu kuitwa Simba wa Yuda ni sawa au poa. Binafsi naelewa kafanya hivyo bahati mbaya bila kuujua ukweli.Wewe ni mkristo? Au unadandia treni front. Sisi wenyewe wakristo tumeona poa tu we wa dini ya mataifa unalalamika.
Yuda Ni kabila la yuda. Biblia siyo gazeti. Acha kukurupuka.
Hiyo imeishaKweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
kwa zako wewe, tuambie lini Yesiu alikuwa mfalme wa Wayahudi? Simba wa Yuda (Wayahudi) ni nembo ya Kifalme wewe. Nembo hiyp wa mwisho kuitumia "official" alikuwa Haile Sellasie wa Ethiopia.
Msitake kujaza watu ujinga mliojazwa nao makanisani huko.
Si sawa kwa nini? Dini huijui unajitia kimbelembele wakati muda wote uko busy kutenda madhambi tuuui!!Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Mi naomba andiko ndani ya biblia linalo mtaja Yesu kuwa ni simba wa Yuda.Naomba nikili udhaifu huu nilio nao Mimi
Uwa napenda sana kuwasikiliza viongozi wetu, uwa nachukua muda mwingi kutafakari Kila wanachokisema.
Nimetangulia kusema ni udhaifu wangu maana unaweza ona nachukua muda mrefu kuwa najadiri neno moja baada ya jingine lilirotamkwa na watawala nasema watawala na sio viongozi.
Mfano kauli ya Mama yetu Samia kumuita Magufuli yakuwa alikuwa ni Simba wa Yuda ni kumfananisha na Yessu Kristi Ili ni kosa kubwa sana
Magufuli hakuwa Simba wa Yuda na hatokuwa walio muita hivyo ni wazindaki walio taka wapewe uraji.
Leo hii Mama Samia anamuita Magufuli Simba wa Yuda Tena kwa kumkashifu,sio kwa kumsifia anamuita Simba wa Yuda Alie ponya wagonjwa na kufia wenye dhambi?
Leo hii Simba wa Yuda Yessu unamfananisha na Magufuli kikashifa?mama umeanza kumkashifu Yessu kiristo ni kiburi Cha Uongozi hama ?
Yessu kiristo alimtisha nani?Simba wa Yuda alimtisha nani?
Mafuguli alikuwa mtu, kama watu wengine hawezi fananishwa na Simba wa Yuda nimwimbae kwenye nyimbo
Ewe unae soma Uzi huu imba kawimbo haka ka SImba wa Yudaa..........
Simba wa Yuda.....
Na mwana Kondoo ni nani kama Simba ni Yesu?Ufunuo 5:5 Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia,Usilie;tazama Simba aliye wa kabila ya Yuda,Shina la Daudi,yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu,na zile muhuri zake saba.
Na mwana Kondoo ni yupi kama Yesu ni Simba?.yuda si jina tu bali ni kabila pia. Huyo yuda iskariyote ni jina lake la kwanza kulikuwa na yuda wengi ndio maana yule alitambuliwa kama yuda iskariote. Ila simba wa yuda ni moja tu YESU AITWAE KRISTO