Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Umsamehe kwa.kosa lipi??
Mku kumsifu Mungu aliyetupa uhai huwa kuna Majina mengi huwa tunatumia likiwepo Simba wa Yuda.
Kwani hapa Mama kwa kweli ameteleza japokuwa Kiimani siwezi kumsemea kwa babu anajua mwenyewe alimaanisha nini kwa kujua au kutokujua kwake.
 
Unataka kuniambia jina jingine.la Mungu ni Simba wa Yuda??
 
Unataka kuniambia jina jingine.la Mungu ni Simba wa Yuda??
Mku ktk jambo la Kiima huwa ubishani sio afya.
Ktk kusifu Bwana ana Majina mengi mfano Yehova Nyire,Bwana wa Mabwana, Halifa na Omega, Mfalme wa Mfalme, Jemedari wa Vita na Simba wa Yuda. Kwani yapo majina mengi tunayotumia kusifu na kumtukuza Mungu wetu.
Amina
 
Msimlazimishe kuomba msamaha, SIMBA WA YUDA yupo atajitetea mwenyewe. Aliyepita watu walikuwa wanamsujudia na wengine walimwita MUNGU. Mungu aliposhuka nadhani hakuna asiyejua kilichotokea.
Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu.
Halafu mbona mama hakusema SIMBA WA YUDA/Simba wa Yuda alisema "simba wa yuda" hatuoni tofauti hapo. Ni sawa na tofauti ya MUNGU/Mungu na "mungu"
 
Mku ktk jambo la Kiima huwa ubishani sio afya.
Ktk kusifu Bwana ana Majina mengi mfano Yehova Nyire,Bwana wa Mabwana, Halifa na Omega, Mfalme wa Mfalme, Jemedari wa Vita na Simba wa Yuda. Kwani yapo majina mengi tunayotumia kusifu na kumtukuza Mungu wetu.
Amina

Hapa hatubishani bali tunaelimishana, sasa hilo jina la Simba waYuda umelipata wapi kiasi kwamba udai kwamba hilo.ni miongoni mwa majina ya Mungu, Sina shida kuhusu Majina Yehova, Mfalme wa Wa falme, Bwana wa majeshi nk, shida yangu ni jina Simba wa Yuda tu.
 
ufunuo 5:5
ufunuo 22:16 Yesu anajitambulisha kuwa yeye ni root of david . Na hapo 5:5 inaonyesha simba wa kabila la yuda ndiye pia root of david
 
Soma ufunuo 22:16 then rejea ufunuo 5:5 sina cha zaidi
Hapa hatubishani bali tunaelimishana, sasa hilo jina la Simba waYuda umelipata wapi kiasi kwamba udai kwamba hilo.ni miongoni mwa majina ya Mungu, Sina shida kuhusu Majina Yehova, Mfalme wa Wa falme, Bwana wa majeshi nk, shida yangu ni jina Simba wa Yuda tu.
 
Hapa hatubishani bali tunaelimishana, sasa hilo jina la Simba waYuda umelipata wapi kiasi kwamba udai kwamba hilo.ni miongoni mwa majina ya Mungu, Sina shida kuhusu Majina Yehova, Mfalme wa Wa falme, Bwana wa majeshi nk, shida yangu ni jina Simba wa Yuda tu.
Naomba unisaidie haya uliyokubalianayo wewe umeyapata wapi kwani Watumishi wako wengi na inawezekana na ww ukawa mmoja wao.
Kumbuka mimi huwa kanisani hilo Jina Simba wa Yuda hutumika sana kanisani kwa kuabudu au kusifu hata jana katika ibada ya jioni ktk Kanisa la Kkkt Sinza tulilitumia.
Kama unataka kuamini ingia kwenye yutubu tafuta kwa jina la Mchungaji Dibole Mnanka ya jana sikiliza utapata jibu.
Asante
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Mbona maaskofu na waimba pambio wengine walipokuwa wanamtaja ni Mungu na mnamsujudia hamkuomba radhi?

Kiongozi wa malaika ni nani? Si ndio huyo Simba wa Yuda? 😆😆😆 Hadi Bashiru anawacheka 👇

2738144_JamiiForums764709745.jpg
 
Yesu Kristo hana kabila wala utaifa mara zote makabila tunarithishwa na baba zetu hivyo Yesu Kristo in reality sio Myahudi kwa vile alizaliwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu ambaye hana kabila ni Neno lilolonenwa likafanyika mwili kama ilivyoandikwa kwenye Yohana 1:14 ila kuitwa kwake Simba wa kabila la Yuda ni sehemu ya kutimiza unabii wa kuja kwake kwa kwanza ambapo alionesha kuwa ni Mfalme wa Wayahudi ambao walimkataa na kumwangika msalabani kama ilivyoandikwa kwenye msalaba.Hivyo Yesu alisema "Mimi nasema nao kwa mifano,ili wakisikia wasielewe wakitazama wasione bali ninyi mmejaliwa kujua siri za ufalme wa Mungu ila wengine hawakujaliwa.Hivyo Simba wa kabila la Yuda ni mfano wa kuonesha ufalme Wake kwa Israel kwa vile katika mpangilio wa majukumu ya waliyopewa wana wa Israel kulingana na makabila 12 Yuda waliwakilisha Simba na ndio walikuwa vinara wa makabila matatu ambayo yalijipanga kwa kulinda pande nne za dunia ambayo Yuda alisimama mashariki kulinda sanduku la agano mengine yalisimama upande wa magharibi,kaskazini na kusini kwa idadi ya makabila matatu matatu.Hivyo makabila hayo yaliwakilisha wenye uhai wanne yaani Simba,Ndama,Uso wa mwanadamu na Tai arukaye.
 
Ati nidhamu ya woga? Hilo neno tumelibeba tutakukumbusha 2025
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Wanawake ni kawaida yao kuropoka
 
Back
Top Bottom