Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unyelile ubebe kumadako gako!Unyelile.
Umemaliza mjadala.Huyo kwa vile ngozi nyeupe,ndio hawalalamiki.Huyu mbona sijawahi sikia mkilalamika,
King of Kings , Lord of lords, conquering LION OF JUDAH , His Imperial Majesty Haile Sellasie IView attachment 2173722
Kabla ya kuwa mwanadamu katika mwili alikuwa ni Mungu katika roho
Pelekapumba zako huko.We kibibi uko? Ni vile dini yetu imeshika hatamu
Wacha heshima ya woga wewe sukuma gang fan.Msisahau Januari na nape ndio walioleta cyber crime law. Na kwa utabiri wa Lema na Lisu mama anaweza akapigisha mchakamchaka nyie mnaocoment vibaya zaidi ya mwendazake.
Anaweza akavua koti mitandao yote ikapigwa pini. Mnapokosoa mjiangalie kidogo. Online kila unapoingi na ku log in huwa unaacha signature yaani IP adress na vinginevyo kwahiyo kukupata ni rahisi sana. Fikiria na chukua hatua.
Mungu mwenyewe ndiye anashughulikia wanaomshusha Wala siyo wadamu. Maaskofu nao ni wanadamu TU.Hapa ndipo maneno kutoka Timetheo wa pili sura ya nne ule mstari wa saba huwa yanatamkwa kidhihaka. Inabidi maaskofu, wachungaji na mapadri wajitokeze kukemea
Kama wewe ni mkristo lazima ukiri Imani ya mitume ambayo kuna sehemu inasema Yesu ni Mungu kweli kwa Mungu kweli.Mmhhh Mungu tena!!!
Hiyo ya ugaidi ishabuma ulikua NI mradi WA wamarekani kukamilisha missions zakeFirauni ni wewe! Kuuza makanisa ni ngonjera zenu magaidi ni majitu yenye roho mbaya kila siku kulipua mabomu kwa kujitoa mhanga! Siku ukiju Muhamad alitokewa na shetani pangoni utakuwa ushachelewa! Hata majini mnasali nayo!
Nyinyi NI wendawazimu wafuata Dini ya Zumaridi eti mbakaji kambaka Mama yako au Kambaka Baba yako??Huyu aliyetokewa na shetani pangoni akapigwa makofi? Kwanza ni mbakaji angekuwepo angekula mvua ya maiaka 30! Hakuna mtume mzinzi kama huyo!
YESU ANA MAJINA MENGI .Na mwana Kondoo ni yupi kama Yesu ni Simba?.
Kama wewe ni mkristo lazima ukiri Imani ya mitume ambayo kuna sehemu inasema Yesu ni Mungu kweli kwa Mungu kweli.
Simba wa Yuda atawashughulikia wanaomshusha!Mungu mwenyewe ndiye anashughulikia wanaomshusha Wala siyo wadamu. Maaskofu nao ni wanadamu TU.
Zugu nakulye kunu gwani?Uli nyana.
swali la kijinga.Biblia ni nini??
swali la kijinga.