maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,073
Mku kumsifu Mungu aliyetupa uhai huwa kuna Majina mengi huwa tunatumia likiwepo Simba wa Yuda.Umsamehe kwa.kosa lipi??
Mku kumsifu Mungu aliyetupa uhai huwa kuna Majina mengi huwa tunatumia likiwepo Simba wa Yuda.
Kwani hapa Mama kwa kweli ameteleza japokuwa Kiimani siwezi kumsemea kwa babu anajua mwenyewe alimaanisha nini kwa kujua au kutokujua kwake.
Mungu anapenda wale wenye kusamehe.Tumsamehe tu
Mku ktk jambo la Kiima huwa ubishani sio afya.Unataka kuniambia jina jingine.la Mungu ni Simba wa Yuda??
Halafu mbona mama hakusema SIMBA WA YUDA/Simba wa Yuda alisema "simba wa yuda" hatuoni tofauti hapo. Ni sawa na tofauti ya MUNGU/Mungu na "mungu"Msimlazimishe kuomba msamaha, SIMBA WA YUDA yupo atajitetea mwenyewe. Aliyepita watu walikuwa wanamsujudia na wengine walimwita MUNGU. Mungu aliposhuka nadhani hakuna asiyejua kilichotokea.
Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu.
Mku ktk jambo la Kiima huwa ubishani sio afya.
Ktk kusifu Bwana ana Majina mengi mfano Yehova Nyire,Bwana wa Mabwana, Halifa na Omega, Mfalme wa Mfalme, Jemedari wa Vita na Simba wa Yuda. Kwani yapo majina mengi tunayotumia kusifu na kumtukuza Mungu wetu.
Amina
Hapa hatubishani bali tunaelimishana, sasa hilo jina la Simba waYuda umelipata wapi kiasi kwamba udai kwamba hilo.ni miongoni mwa majina ya Mungu, Sina shida kuhusu Majina Yehova, Mfalme wa Wa falme, Bwana wa majeshi nk, shida yangu ni jina Simba wa Yuda tu.
Naomba unisaidie haya uliyokubalianayo wewe umeyapata wapi kwani Watumishi wako wengi na inawezekana na ww ukawa mmoja wao.Hapa hatubishani bali tunaelimishana, sasa hilo jina la Simba waYuda umelipata wapi kiasi kwamba udai kwamba hilo.ni miongoni mwa majina ya Mungu, Sina shida kuhusu Majina Yehova, Mfalme wa Wa falme, Bwana wa majeshi nk, shida yangu ni jina Simba wa Yuda tu.
MnyaparaMtasikia Mengi
Mbona maaskofu na waimba pambio wengine walipokuwa wanamtaja ni Mungu na mnamsujudia hamkuomba radhi?Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Umeandika nini sasa?Mbona maaskofu na waimba pambio wengine walipokuwa wanamtaja ni Mungu na mnamsujudia hamkuomba radhi?
Kiongozi wa malaika ni nani? Si ndio huyo Simba wa Yuda? πππ Hadi Bashiru anawacheka π
View attachment 2175344
Si bora mimi ni cheto feki,huyu mwenye PhD feki na hawezi ongea fluent English unamuweka kundi gani?πUmeandika nini sasa?
Hili ndo tatizo la kufungulia vyeti fake!
Kiingereza si kama kimakonde tu? Utumwa umekutawala kichwani,,Si bora mimi ni cheto feki,huyu mwenye PhD feki na hawezi ongea fluent English unamuweka kundi gani?π
View attachment 2175363
Wanawake ni kawaida yao kuropokaKweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Ndio kilimshinda yule mwenye PhD ya lugha ya kingereza π¬π¬π¬..Kiingereza si kama kimakonde tu? Utumwa umekutawala kichwani,,
Pia nimeandika vyeti sio vyeto!