Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.

Magufuli Si Simba ni fisi
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Yaani mama SSH anamfananisha huyu katili na Mwokozi wetu Yesu Kristo kweli jamani? Hii ni dharau kabisa na kebehi kwa dini yetu. Ni bora angemfananisha na mtume lkn sio Kristo!
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Dini ni utaahira kama utaahira mwingine, abishe mtu
 
Katika Kauli Simba wa Yuda, nataka kujuwa kwa maana ya kwenu Wa kristo YUDA NI NANI ?
 
Ok umeongea meeeeengi!!! Lengo la hadithi hii ni nini? Maana ni maelezo tu hoja ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…