Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

Wewe aliyekwambia YESU ndio SIMBA WA YUDA ni nani??
 
Nyie nae hata mapadri na makasisi wasiooa wanaolawitiana mpaka na watoto wadogo kila kukicha mnawaita baba. Hamueleweki.

Basi tumwite panya wa Yuda.

Hapo Sasa!
Yanaendelea madrasa kwa watoto wa kiume hujawahi kuyasikia?
 
Wala hamna neno ameongea kama mfano tu !

Msifanye mambo kuwa magumu!

Mbona ameeleweka tu !
 
Nyie nae hata mapadri na makasisi wasiooa wanaolawitiana mpaka na watoto wadogo kila kukicha mnawaita baba. Hamueleweki.

Basi tumwite panya wa Yuda.

Hapo Sasa!
Hivi yule jamaa yenu alivyopambana na nguruwe nani alishinda?
 
Hapa tunasemea Rais wa nchi. Kaduguda ni a nobody.
Na Mimi nakuonyesha tu kuwa kuitwa Simba wa Yuda siyo ISSUE. Kuna mchezaji wa Manchester City anaitwa Gabriel Jesus kabisa lakini Wakristu haatuna shida kabisa
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.

Toa kelele za kinafiki hapa Yesu tangulini akaitwa majina ya ajabu hivi
 
Nyie nae hata mapadri na makasisi wasiooa wanaolawitiana mpaka na watoto wadogo kila kukicha mnawaita baba. Hamueleweki.

Basi tumwite panya wa Yuda.

Hapo Sasa!
Dada FaizaFoxy umetumia lugha nzito sana japo Mimi pamoja na kuwa ni Mkristu wa madhehebu ya RC, nakuunga mkono juu ya matumizi ya jina, hakuna big deal
 
Hakuna anayekataa kwamba Rais Samia anaponyesha majeraha yaliyoletwa na awamu zilizopita hususani ya tano lakini Simba wa Yuda si jina la kumfananisha na mwanadamu.
Kuna wakati aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani alimwita jpm kuwa ndie Kristo haikuwa shida, na mkuu mmoja wa mkoa wa tabora alimtaka Mungu ndio amshukuru rais kwa kazi mzuri anayofanyia watanzania, ilikuwa sawa kwa nini leo imekuwa nongwa?
 
Jitahidi uandike kiswahili vizuri basi mkuu
 
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.

Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.

Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Mbona kuna watu walimfananisha Maghufuli na Yesu na mwingine Mungu.

Halafu kuna yule Mwanri alisema Mungu ndo anayetakiwa kumshukuru jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…