Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Simba wa Yuda. Umeelewa hapo ?
Kwani mtu akisema; Simba wa Yuda si sawa na kusema; Simba wa Tsavo au Simba wa Jakobo ??!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wa Yuda. Umeelewa hapo ?
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Haya hayakuhusu, wewe endelea kutembea na katambuga ukiamini zitakufikisha mbinguni.
Yesu hakuwahi kuvaa katambuga.Yesu alivaa viatu gani ,katambuga au moccasins we pimbi
Simba wa Yuda. Umeelewa hapo ?
Jahmaicah make una go smoke caribbean weed,una eyes go come open well well , even our corrupt leasders dem go come change and lead us good well well wen dem see una eyes dey red fear go enter dem body see lion Snoop don smoke Caribbean weed, now e don discover e root say na Rastafari Jahmaicah una too much oo ,coffee wey I dey drink for hia comot for my nose as I read this
Jpm alikuw jizi,Mafisadi, majangili, wauza madawa ya kulevya na wahuni walimchukia sana JPM.
Ufunuo wa Yohana 5:1-5Hivi ni wapi imeandikwa Simba wa Judah ni Yesu??!!
Nyamaza Kafiri weeHuyu aliyetokewa na shetani pangoni akapigwa makofi? Kwanza ni mbakaji angekuwepo angekula mvua ya maiaka 30! Hakuna mtume mzinzi kama huyo!
Halafu kuna Mbunge alitamka kabisa kuwa jamaa ni yesu mbona hakumtaka aombe radhi?Mtu wa pwani yule!.Fuatilia mapigo ya sauti(intonation)alivyoitamka hiyo "Simba wa Yuda"!Hutopata shida.
Suala dogo sana huyu mdau kalianzishia uzi kabisa.Usijifanye mjuaji wewe kilaza.
Kawawa aliitwa "Simba wa Vita".
Asante mkuu Automata, nilipitiwa kidogo, badala ya vita nikachanganya na Yuda.Unajikuta mkongwe kumbe cheki bobu, Kawawa aliitwa simba wa vita
Tumemjua baada ya kuwa rais, angebakia na umakamu wake tusingezijua dharau zake. Msamehe bure.Angemwita Simba wa Burigi angepungukiwa nini ?Huyu mama ana dharau sana ndo maana anaburuzwa tu na JK.
Firauni ni wewe! Kuuza makanisa ni ngonjera zenu magaidi ni majitu yenye roho mbaya kila siku kulipua mabomu kwa kujitoa mhanga! Siku ukiju Muhamad alitokewa na shetani pangoni utakuwa ushachelewa! Hata majini mnasali nayo!Nyamaza Kafiri wee
Nuru ya Uislamu inaenea kama NURU YA JUA ulaya Makanisa yanageuzwa Misikiti Ukristo umebaki Afrika Tu Ulaya Makanisani wanaenda vizee tuu kwani Mungu wenu WA Usukumani Kesha toka jela?
Kwani hamkuona au kusikia baadhi ya waheshimiwa wakimwita yule Mheshimiwa Mungu?Wewe ni mkristo? Au unadandia treni front. Sisi wenyewe wakristo tumeona poa tu we wa dini ya mataifa unalalamika.