Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile?
Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka.
Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya wafanye kazi zao na si kuhangaika na uongo waliouanzisha wao.
Mama punguza "CHAWA" kwenye Cabinet yako, wanakudhalilisha
Haya maelezo video ya chini yana Tofauti gani na Maelezo ya Askofu Gwajima?
Ni heri wakae kimya kufunga huu mjadala, Bladfaken