Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Mbona wote walipewa na hakuna aliyechaguliwa? Heri mmoja ni msomi na mwingine kihiyo na tapeliKupewa na kuchaguliwa ni vitu viwili tofauti
Tuache mifadhaiko katika kujenga hoja. Matumizi sahihi ya maneno yanafanya hoja kuwa na nguvu! Hapa utasemaje?Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile?
Kwa nini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya?. Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka.
Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya wafanye kazi zao na si kuhangaika na uongo waliouanzisha wao.
Mama punguza "CHAWA" kwenye Cabinet yako, wanakudhalilisha
Huyu mama sijuhi kwanini alipewa uwaziri,ana makelele sana kama kigagura,Swaga nyingi,masihara Mengi!!Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile?
Kwa nini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya?. Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka.
Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya wafanye kazi zao na si kuhangaika na uongo waliouanzisha wao.
Mama punguza "CHAWA" kwenye Cabinet yako, wanakudhalilisha
Kuna kitu kinaitwa utitiriiChawa
Kunguni
Papasi
Mbung'o
Ngeda
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28]
Usemayo ni ya kweli. Hata hivyo, ni kwa wenye maarifaTuache mifadhaiko katika kujenga hoja. Matumizi sahihi ya maneno yanafanya hoja kuwa na nguvu! Hapa utasemaje?
Kwanini asimtimue kupe na tapeli Josephat Gwajima askofu wa kujipachika na tapeli wa kunuka kwanza ambaye kama siyo CCM kudhulumu Kawe asingekuwa hata diwani?
Unamaanisha huyu Halima aka Covid-19? Mie namaanisha yule dogo aliyepigwa chini pamoja na kupeta kwenye kura za maoni. Huyo Covid ni mali yao wanaweza kutumia watakavyoMalizia, Na mbunge aliyedhulumiwa kawe akaamua kuunga mkono juhudi [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha aaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msamehe Dorothy kichwani anaonekana kuna mshipa hauko sawa,
ile siku amechanjwa nakuhojiwa ndo niliamini kwenye kichwa yake kuna shida mahala.
View attachment 1896387
Mkuu, akili za shuleni usifananishe na akili za kuongoza kituHata mimi nashangaa.
Huyu GwajiGirl alikuwa na akili nyingi sana shuleni.
Na alifaulu vizuri ktk mitihani yake karibu yote. Hadi chuoni.
Leo ukimwangalia kwa umakini unaona kabisa kama vinginevyo vile.
Huenda hawa akina Gwajima wanasumbuliwa na kuwa na akili nyingi kupita majukumu yao.
Inabidi waongezewe kazi za kufanya kuendana na akili zao kubwa.
Mimi yangu macho. Nitarejea baada ya kuoga matusi ya watoto kama ErythrocyteUsemayo ni ya kweli. Hata hivyo, ni kwa wenye maarifa
Unamaanisha huyu Halima aka Covid-19? Mie namaanisha yule dogo aliyepigwa chini pamoja na kupeta kwenye kura za maoni. Huyo Covid ni mali yao wanaweza kutumia watakavyo
Mbona P Katambi aliaguza polisi wamkamate Yule jamaa aliyekataa kuitwa mjinga hadharani?!Huyu mama sijuhi kwanini alipewa uwaziri,ana makelele sana kama kigagura,Swaga nyingi,masihara Mengi!!
Amejaa mipasho tu,anavyoongea utafikiri Mzalamo yupo kwenye ngoma ya mdundiko,Huyu mama,Kitira mkumbo,Kabudi,Mwigulu,mijitu imejaa masihara matupu.
Huyu mama anadai "amehapa mbele ya majeshi yote"anatoa maagizo kwa jeshi la polisi limkamate Raia!what a stupid comment