Hisia zangu:Ni kuwachunguza polisi na wahamasishaji walioko nje, wale waandamanaji wengi ni ndani ya wale 518, wengine kwa vile waliisha shikwa na kushitakiwa kisha kusamehewa, hawawezi kushitakiwa tena.
P
Nchi hii haina wazee 30m, ccm ni chama cha wazee, hao wazee 30m wametokea wapi?Una ushahidi wa hilo? Wanachama wa CCM Tu wako million 30
Acha kukariri Mzee, hujaona uvccm? CCM chipukizi???Nchi hii haina wazee 30m, ccm ni chama cha wazee, hao wazee 30m wametokea wapi?
Hamna kitu wanachunguza hapo. Kama Samia na Mwigulu walikuwa wanapita wanasema waandamanaji wametoka nje ya nchi, kisha waliokamatwa hakuna wa nje ya nchi. Yaani tumekuwa na majaji toilet paper ya ajabu.Ni kuwachunguza polisi na wahamasishaji walioko nje, wale waandamanaji wengi ni ndani ya wale 518, wengine kwa vile waliisha shikwa na kushitakiwa kisha kusamehewa, hawawezi kushitakiwa tena.
P
Hao ni vibarua, siku posho zikikatika wanaondoka wanabaki wazee tu.Acha kukariri Mzee, hujaona uvccm? CCM chipukizi???
🤣 🤣 🤣 Hata mimi nimecheka, Sasa wanataka kusema Bunduki huwa zinamilikiwa na nani kama sio RaisNchi ya kijuha inayoongozwa na juha!
Muuaji namba moja anaunda tume juu ya tume kuchunguza mauaji aliyoyafanya yeye mwenyewe!
Typical banana republic shenanigans 😂.
😹😹😹 Dah!NAshauri mwaka huu ukijifungua salama tafwadhali muombe mmeo umpe mtoto jina CHADEMA!
Ni wanachama hai, tembelea www.ccm.or.tz kwa taarifa zaidi kuhusu wanachama wa CCMHao ni vibarua, siku posho zikikatika wanaondoka wanabaki wazee tu.
kodi zetu zinavotumika 💔Rais Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
Tume hiyo inalenga kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ili kuchukua hatua stahiki na kuimarisha usalama wa taifa, huku Jaji Lila akisaidiana na Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Gad John Mjemmas, Awadh Mohamed Bawazir na Aishieli Nelson Sumari.
====
TUME YA UCHUNGUZI WA KIJINAI WA MATUKIO YA GHASIA YA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025
Katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 na kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Aidha, Mhe. Shabani Ally Lila, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa Kamishna na Mwenyekiti wa Tume na wafuatao wameteuliwa kuwa Makamishna wa Tume hiyo:-
(i) Mhe. Gad John Mjemmas - Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania;
(ii) Mhe. Awadh Mohamed Bawazir Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania; na
(iii) Mhe. Aishieli Nelson Sumari Tanzania. Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Hii ni kuhalalisha baadhi ya wanasiasa kukamata na kupewa case, baada ya report ya hii Tume,kina mwafulani wajiandae aisee!!!Rais Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
Tume hiyo inalenga kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ili kuchukua hatua stahiki na kuimarisha usalama wa taifa, huku Jaji Lila akisaidiana na Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Gad John Mjemmas, Awadh Mohamed Bawazir na Aishieli Nelson Sumari.
====
TUME YA UCHUNGUZI WA KIJINAI WA MATUKIO YA GHASIA YA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025
Katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 na kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Aidha, Mhe. Shabani Ally Lila, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa Kamishna na Mwenyekiti wa Tume na wafuatao wameteuliwa kuwa Makamishna wa Tume hiyo:-
(i) Mhe. Gad John Mjemmas - Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania;
(ii) Mhe. Awadh Mohamed Bawazir Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania; na
(iii) Mhe. Aishieli Nelson Sumari Tanzania. Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
labda pamoja na mizimu isiyo onekana!!!!Una ushahidi wa hilo? Wanachama wa CCM Tu wako million 30
Exactly!Hisia zangu:
Hii tume inaenda kuwarushia kesi za jinai wanaharakati na kuwagusa Askari polisi wachache Sana wa vyeo vya chini.
Kwa minajiki hiyo hii time inaenda kuhamsha mambo mengine ambayo yatakuwa chanzo Cha kelele nyingi Sana na huenda ikazusha mgogoro mwingine unatao zalisha waasi.
I'm talking about the beginning of civil war and militias, if we are not smart.
Najua kuunda kwa hii tume ni kuzima vuguvugu la mchakato wa kufunguliwa kesi ICC watoa maamuzi serikakini kwa yaliyotekelezwa October 29.
Hapa watapatikana mbuzi wa kafara, mabeberu watapewa ulaji kwenye maliasili au mikataba ya kinyongaji ya kibiashara kuwatuliza wasishikie bango.
Mfano: Kifo Cha Jamal kashogi.
Baadhi ya wadau wa serikali ya wamarekani kushauri serikali yao isiwezeshe mchakato wa kuchunguzwa na kushitakiwa mwana mfalme (Sultani) wa Saudi Arabia ili wasikose mikataba ya kibiashara na Saudia.