PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu nilikwambia uingie mda ule ukaingia ukaona ngoma ngumu hujajibu

Umekuja kujibu baadae baada ya twitter kukaa sawa πŸ˜…πŸ˜…

Acha uhuni

Jibu lako ni la mtu ambaye hajielewi ,wewe umesema twitwa imezimwa na kama nabisha nifungue ,sasa unataka nijibu hapo hapo ulivyoandika as if nimeweka notification kwa reply zako? Na hata nikija kujibu baada ya 1hr si ingegoma vile vile kwasababu imefungwa? Mbona na wewe umekuja kujibu saa nne usiku wakati mie nilikujibu mchana(jioni)? Tofautishwa kufungwa na kuwa down ndugu ila wewe umeleta thread kwamba imefungwa.
 
Kichekesho. Tax anaenda kuchunguza Nini na alikuwa kwenye mfumo? Au anaenda kuvuruga uchunguzi?
Tena alikua waziri wa wizara husika, mbna vichekesho hivi. Lol
 
Sidhani kuwa uko sahihi kwasababu ili uwe waziri ni lazima kwanza uwe mbunge , sasa bunge linapovunjwa mawaziri wote wanakoma kuwa wabunge hivyo hawawezi kuendelea kuwa mawaziri mpaka hapo rais atakapoapishwa!!!
Mkuu sio suala la kudhani, ni suala la kikatiba. Hiyo hoja ya ubunge kukoma ipo sahihi lakini katiba imeweka hayo masharti kuhusu ukomo wa uwaziri. Ngoja nikuangalizie ibara.
 
Upo sahihi. Ni ibara ya 57 ya katiba.
 
Wewe ndo hujielewei saa 12 ni mchana?

Taharuki ya twitter kuzimwa ilikuwepo humu JF nzima hadi baadhi ya watu walianzisha nyuzi mpaka kina Vincenzo walipotoa taarifa kwamba iko down dunia nzima

Acha ujuaji mi sijaleta thread yoyote kuhusu twitter kuzimwa
 
Ndiyo maana nakwambia haujielewi ,wakati unatoa thread si ulisema imefungiwa bado tiktok wajiandae? Ukasema nitest ,kwa akili yako ulivyoona sijajibu muda huo huo ukaconclude kwamba nimetest nilivyoona haifunguki sijakujibu ndiyo UKILAZA wako huo ulipo ,hapa ni Facts ukitoa nyuzi tulia ujiridhishe authentification ya taarifa yako siyo lazima uanzishe nyuzi....Yaani umeshindwa kujua kama twita ilikuwa down wakati unaanzisha mpaka ukaleta uzushi kwamba imezuiwa?

Ukilaza wako wa pili ni kuhushu hiyo saa 12 ,mtu akiandika ebu fungua FUVU lako ufikirie nje ya box siyo unakurupuka tu ,ebu soma soma uhandishi kidogo uwe na uelewa mtu akiandika mambo ,hapa ni great thinkers kaka ,mtu akiandika ujiongeze siyo unakurupuka...uzuri umeniqoute na neno la mchana(jioni) lipo ,sijataka kuandika exactly jioni au mchana maana tuna time difference ,siyo kila mtu anayeperuzi JF yupo TZ na ndiyo maana kama wewe kwako ilikuwa mchana sawa kama ilikuwa jioni sawa the same hata mimi.

Au haujawahi kuona kwenye magazeti wameandika "Mwananchi iliongea na msemaji wa Serikali leo(jana)"?
 


Hapo ulikuwa unazungumzia kuzimwa nini? Hiyo si taarifa umeileta humu JF iwe thread au kwenye comment si taarifa umetuhabarisha? Ndiyo UKILAZA wako naouzungumzia ,unaleta ujuaji mwingi wakati Ubongo wa KUKU dakika mbili ushasahau.
 
Kwahiyo hiyo ndiyo thread niliyoileta?

Nakuheshimu Bro na nasomaga mabandiko yako mengi sana na najifunza vingi sitaki kukuvunjia heshima

Tuishi tu
 
Kwahiyo hiyo ndiyo thread niliyoileta?

Nakuheshimu Bro na nasomaga mabandiko yako mengi sana na najifunza vingi sitaki kukuvunjia heshima

Tuishi tu
Narudia tena iwe thread au comment tunazungumzia context ya Twita kuzimwa ,wewe ndiyo uliyesema kwenye hiyo comment na mimi ndiyo nikakuambia ipo fresh ,ukaniita Muhuni ,usihamishe mjadala.

Ulivyozungumzia kuzimwa mimi nachojua imezimwa kitambo TZ bila VPN hauwezi kuipata ,imezimwa zaidi ya mwaka mzima ,ukaniambia jaribu sasa ,nimeona qoute yako baada ya saa kadhaa kupita ,nikakujibu kwangu ipo fresh ,ukaniita muhuni nani hapo aliyemvunjia mwenzake heshima.......kwa humu ndani MUHUNI ni tusi kubwa sana ,ndiyo hao wanaotuharibia nchi.

#KATAA_WAHUNI
#FREE POLEPOLE.
 
Yale Yale tu, unaunda tume ya uchaguzi na bado unagombea urais. Umeua unaunda tume ya kujichunguza. Yaani ni sawa na nyani anajichunguza
 
Samia na genge lake ni hawako serious kabisaa..... Yaani unaunda tume ya wanachama wa chama chako kweli.... Kweli akili za form 4 failure
 
Hawa watu wa tume hawana sifa

Kwa sababu hawa watu hawana heshma ya kuwa ma statesmen

Hatujawahi kuwasikia hata siku moja, hata mmoja, wanatamka kitu cha ki statesman cha kuikanya serikali, kushauri taifa, kutetea taifa, kutetea wananchi

Yani, zaidi za kazi zao za ajira, hawajawahi kufanya kitu kinachoonyesha anajali nchi saaana, au ana uzalendo kiviiiile, na ana upendo mkuu na watu wa nchi hii...

Huyo Jaji Chande, kwa mfano. Ni lini amewahi kudai hata ripoti zake zifanyiwe kazi kama ambavyo Warioba ameishi akihubiri na kulaani rasimu yao ya Katiba kuchanwa chanwa ?????

Hii tume ni garbage, na wanajijua hawatafanya chochote. Kuna mtu hapo anaweza kumtaja mtoto wa Rais kwenye ripoti ???
 
Bora waache tu.... Upuuzi mwingine....
 
Huyu bi chura dish limeyumba
unateua tume ya kukuchunguza wewe mwenyewe?!
na posho unawalipa wewe?

Unapoteza muda raslimali na kodi zetu kwa mambo yasiyo na tija.
Best option ni wewe kustep down na kitanzi.
 
Mkuu sio suala la kudhani, ni suala la kikatiba. Hiyo hoja ya ubunge kukoma ipo sahihi lakini katiba imeweka hayo masharti kuhusu ukomo wa uwaziri. Ngoja nikuangalizie ibara.
Nashukuru kwa ufafanuzi, nimerejea katiba na uko sahihi.
 
Huyu bi chura dish limeyumba
unateua tume ya kukuchunguza wewe mwenyewe?!
na posho unawalipa wewe?

Unapoteza muda raslimali na kodi zetu kwa mambo yasiyo na tija.
Best option ni wewe kustep down na kitanzi.
Kama Samia hatajiuzuru mapema iwezeknavyo ni wazi maisha ya wananchi wa kawaida yatakuwa magumu sana na hivyo nchi itakuwa haitawaliki. Tatizo la uongozi wake ni kwamba wanatumia mapato ya serikali kiholela bila kufikilia taabu wanazopata wanannchi kwa kuongezewa kodi!! Hivi sasa wameongeza kodi kwenye umeme na bila shaka wanafikiria kuongeza tozo kwenye bili za maji kwavile wanajua kwa vyovyote vile Wananchi hawawezi kuishi bila maji na umeme!
Wananchi wakiandamana kupinga kodi hizi zinazofanya maisha yao yawe magumu mtawalaumu? wanaona jinsi mnavyozitumia kodio vibaya kwa kuwa na misululu ya magari ya bei mbaya na yanayotumia mafuta mengi kwenye misafara yenu mikoani. Je kweli ni sahihi na rational serikali kuwa na Baraja la mawaziri na manaibu wao kubwa kiasi hicho wakati wenyewe mnasema nchi itakuwa na wakati mguu wa uchumi? You people are not serious at all!
Samia kama kiongozi wa nchi ameshindwa kuliongoza Taifa na kama hataondolewa nchi itaingia katika hali mbaya sana ; ni jukumu la viongozi wanaolipenda Taifa hili kuhakikisha kuwa anaondolewa kabla ya mambo kuwa Mabaya zaidi. Hakubaliki na hana uhalali wa kuongoza Taifa. Msipofanya hivyo haraka msijelalamika watu wa nje wakaja kuwasaidia kumuondoa!!!
 
Tume yenyew niya watu waliozeeka wastaafu.

Imetengenezwa njia tu ya kupga hela hii, hamna cha tume hapa
 
Kuna siku niliamua kujichunguza Kama nina mchepuko, nikagundua sina. Nikampa ripoti mke wangu kua sina mchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…