Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

ALIPWA ASANTE
 
Kwani vigezo vya kuwa waziri ni vipi?
Punguza chuki mkuu, hii ni personal sana...attack hoja zake
 
Imekuwaje wewe uteuliwe kuwa Mwandishi wa CHADEMA?
 
Majukumu ya Waziri pamoja na kusimamia sera/ilani ni kumshauri Rais, hili mnaliona?
Ushauri wake sio final, unaweza kuchukuliwa au kuachwa, hatujui anashauri nini maana ni siri yake
 
Sababu mamlaka ziliona anafaa,kwani ilikuwaje Mashinji akawa katibu mkuu chadema.
 
Kwanza mpe heshima yake profesa, maana kusoma sio jambo la mchezo .Kisha tutaendelea na mengine
 
Labda ungelitaja mapungufu then tokatoa feelings, reasoned ones tuweke nondo hapa.

All in all, ka title ka Uprofesa kanambeba na kujikomba kwingi. Profesa toka jalalani (as per Kabudi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…