Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ALIPWA ASANTENaomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
Majukumu ya Waziri pamoja na kusimamia sera/ilani ni kumshauri Rais, hili mnaliona?Kwani vigezo vya kuwa waziri ni vipi?
Punguza chuki mkuu, hii ni personal sana...attack hoja zake
Imekuwaje wewe uteuliwe kuwa Mwandishi wa CHADEMA?Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
Ushauri wake sio final, unaweza kuchukuliwa au kuachwa, hatujui anashauri nini maana ni siri yakeMajukumu ya Waziri pamoja na kusimamia sera/ilani ni kumshauri Rais, hili mnaliona?
Sababu mamlaka ziliona anafaa,kwani ilikuwaje Mashinji akawa katibu mkuu chadema.Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
Kwanza mpe heshima yake profesa, maana kusoma sio jambo la mchezo .Kisha tutaendelea na mengineNaomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
Labda ungelitaja mapungufu then tokatoa feelings, reasoned ones tuweke nondo hapa.Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.