Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

Hujajibu nilichouliza.

Kwa nini unashindwa kupata majibu?
Kiranga anayeuliza siku zote maana yake ni kwamba hajui na anauliza ili kutaka ajulishwe, kama kigezo ni ubunge mbona si wengine wameteuliwa ila Kitilla tu?
 
Kiranga anayeuliza siku zote maana yake ni kwamba hajui na anauliza ili kutaka ajulishwe, kama kigezo ni ubunge mbona si wengine wameteuliwa ila Kitilla tu?
Kwanza kabisa si maswali yote ni kwa sababu mtu hajui au anataka kujua, kuna rhetoric questions, kuna Socratic questions za kukufanya wewe unayeulizwa ujue.

Pili.

Kitila si mbunge?
 
Kwanza kabisa si maswali yote ni kwa sababu mtu hajui au anataka kujua, kuna rhetoric questions, kuna Socratic questions za kukufanya wewe unayeulizwa ujue.

Pili.

Kitila si mbunge?
Lakini je ni wabunge wangapi wamekuwa mawaziri, Why Kitilla?
 
Lakini je ni wabunge wangapi wamekuwa mawaziri, Why Kitilla?
Wabunge wanachaguliwa kuwa mawaziri kwa vigezo vya kikatiba na utashi wa rais.

Rais halazimiki kutoa sababu anapoteua au kutengua.

Hakuna ajabu kwa rais kuteua mbunge kuwa waziri.

Swali zuri zaidi ni kwako wewe.

Kwa nini unaona Kitila hafai kuwa waziri?

Kitila ni mbunge, ametimiza kigezo cha kikatiba cha kuwa waziri.

Sasa kwa nini unaona Kitila hafai kuwa waziri?

Hao wabunge wengine walioteuliwa kuwa mawaziri wana kipi cha zaidi ambacho Kitila hana?
 
Mkumbo ni tumbo linamsumbua. Ni profesa wa jalalani! De
Nilijua tu. Kwa kelele zile za Mkumbo kwenye azimio la Bandari, anatafuta ulaji.
Mkumbo ni tumbo linamsumbua TU.
Nilijua tu. Kwa kelele zile za Mkumbo kwenye azimio la Bandari, anatafuta ulaji.
Mkumbo ni tumbo linamsumbua TU. Professor wa jalalani!
 
Hii hadhi ya u-'profesa' Tanzania haina maana yoyote. Weka machapisho na kazi zake hapa zilizompa huo u-profesa tuyaone kabla ya kudai "heshima".
Kutojua sheria hakukufanyi usihukumiwe,ujinga wako unauhamishaje kwa wengine?,wewe ndio unapaswa kuweka kutafuta machapisho maana yapo ,acha kuwa mnyonge wa akili ,ni nani asiyependa kulipwa 10+m ?ulishawahi kumuona profesa masikini?acha wivu rudi darasani
 
Yapo yamejificha wapi, mbona wewe mwenyewe huna pa kuanzia kuyatafuta?
Sikiliza, ni watu wa aina yako wanaopapatikia huo u-profesa, kwa sababu hamjui maana yake ni nini?
Kitila Mkumbo hana hadhi ya kuwa profesa, na hata wengi wengine hapa nchini.

CCM imeshusha hadhi ya kila kitu humu nchini. Kila kitu ni utapeli tu wa kisiasa. Ndiyo maana nchi inaporomoka kila sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…