Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hujajibu nilichouliza.Najua unachokitaka lakini sitasema kwa sababu za kimaadili
Kwa nini unashindwa kupata majibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu nilichouliza.Najua unachokitaka lakini sitasema kwa sababu za kimaadili
Kiranga anayeuliza siku zote maana yake ni kwamba hajui na anauliza ili kutaka ajulishwe, kama kigezo ni ubunge mbona si wengine wameteuliwa ila Kitilla tu?Hujajibu nilichouliza.
Kwa nini unashindwa kupata majibu?
Kwanza kabisa si maswali yote ni kwa sababu mtu hajui au anataka kujua, kuna rhetoric questions, kuna Socratic questions za kukufanya wewe unayeulizwa ujue.Kiranga anayeuliza siku zote maana yake ni kwamba hajui na anauliza ili kutaka ajulishwe, kama kigezo ni ubunge mbona si wengine wameteuliwa ila Kitilla tu?
Lakini je ni wabunge wangapi wamekuwa mawaziri, Why Kitilla?Kwanza kabisa si maswali yote ni kwa sababu mtu hajui au anataka kujua, kuna rhetoric questions, kuna Socratic questions za kukufanya wewe unayeulizwa ujue.
Pili.
Kitila si mbunge?
Wabunge wanachaguliwa kuwa mawaziri kwa vigezo vya kikatiba na utashi wa rais.Lakini je ni wabunge wangapi wamekuwa mawaziri, Why Kitilla?
Mkumbo ni tumbo linamsumbua. Ni profesa wa jalalani! DeRais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-
DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha
Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-
DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo
Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara
View attachment 2679459
Mkumbo ni tumbo linamsumbua TU.Nilijua tu. Kwa kelele zile za Mkumbo kwenye azimio la Bandari, anatafuta ulaji.
Mkumbo ni tumbo linamsumbua TU. Professor wa jalalani!Nilijua tu. Kwa kelele zile za Mkumbo kwenye azimio la Bandari, anatafuta ulaji.
Kutojua sheria hakukufanyi usihukumiwe,ujinga wako unauhamishaje kwa wengine?,wewe ndio unapaswa kuweka kutafuta machapisho maana yapo ,acha kuwa mnyonge wa akili ,ni nani asiyependa kulipwa 10+m ?ulishawahi kumuona profesa masikini?acha wivu rudi darasaniHii hadhi ya u-'profesa' Tanzania haina maana yoyote. Weka machapisho na kazi zake hapa zilizompa huo u-profesa tuyaone kabla ya kudai "heshima".
Yapo yamejificha wapi, mbona wewe mwenyewe huna pa kuanzia kuyatafuta?Kutojua sheria hakukufanyi usihukumiwe,ujinga wako unauhamishaje kwa wengine?,wewe ndio unapaswa kuweka kutafuta machapisho maana yapo ,acha kuwa mnyonge wa akili ,ni nani asiyependa kulipwa 10+m ?ulishawahi kumuona profesa masikini?acha wivu rudi darasani