Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

Mkumbo tokea zamani sana ilitakiwa apewe wizara, hasa hasa ya fedha.
 

Naona anajiwekea wigo. Wengi wa walioteuliwa walikuwa kwenye hizo wizara, na hapakuwepo na ufanisi. Sasa anapotenga wizara moja na kuzifanya kuwa mbili, huu ni mzingo anawaongezea wananchi na matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
 
Huyu Kitila si mama alisema anafikiria urais 2025!Sasa Yale mawazo yamefutika?
 
Mwanamke ni mwanamke tu. Tena Hawa wa namna ile shida tupu.
Ukiondoa wachache tunaowajua. Tatizo ni kuongozwa na Secretary
 
Habari jf , nimepitia taarifa hii ya leo tar 5/7/2023 kutoka Lilongwe nikaona kuna mambo makubwa mawili :-

1.Kuhamishiwa masuala ya uwekezaji kuwa chini ya ofisi ya Rais

2.Kuongezeka kwa ukubwa/viongozi wa serikali


Nimepita social medianyingi habari ni kitila mkumbo nkajiuliza kuteuliwa kwake ni zaidi haya mambo mawili ?
 
Kwani hapo kabla Dr. Ashantu Kijaji alikuwa Waziri wa nini? Mteuzi sasa kachoka ili mradi tu habari itoke !
 
Aisee
 
Hapa ni kulenga ufanisi. Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Ni nini hiki
 
Nchi zingine Rais haundi wizara bila Bunge kujadili na kupitisha...
Binafsi hakuna kitu kinanikera kama shule kuzipeleka wizara ya Tamisemi...
Yaani kuna wizara ya elimu ina dili na shule na bado tuna wizara ya Tamisemi ina dili na shule
Bado tuna safari ndefu
 
Tuna katiba mbovu haijawahi kutokea Ko kote kule
 
Tumesha wazoea Dr Samia atabaki kuwa Rais wetu 2030
DP world inangwa vizuri , tujiongeze kuukataa huu mkataba
 

Attachments

  • 92FCAF70-78D8-4F1D-9784-EA4A1F4CCE8F.jpeg
    115 KB · Views: 1
Nchi zingine Rais haundi wizara bila Bunge kujadili na kupitisha...
Binafsi hakuna kitu kinanikera kama shule kuzipeleka wizara ya Tamisemi...
Yaani kuna wizara ya elimu ina dili na shule na bado tuna wizara ya Tamisemi ina dili na shule
Tamisemi wanadili na Shule Wizara ya Elimu inadili na Elimu!
 
Tunazidi kuongeza matumizi kwa kuumba na kunyumbua wizara mpya kila siku. Ili la bandari litakuja na mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…