Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-
DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha
Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-
DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo
Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara
View attachment 2679459
Kumbe hujafa kibibi wewe. Kufa umfuate mpenzi wako jiweWewe umesomea umbea?
AiseeRais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-
DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha
Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-
DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo
Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara
View attachment 2679459
Bado tuna safari ndefuNchi zingine Rais haundi wizara bila Bunge kujadili na kupitisha...
Binafsi hakuna kitu kinanikera kama shule kuzipeleka wizara ya Tamisemi...
Yaani kuna wizara ya elimu ina dili na shule na bado tuna wizara ya Tamisemi ina dili na shule
Huo ni ujinga mtupuHapa ni kulenga ufanisi. Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Ni nini hiki
Salam wandugu,
Wiki kadhaa zilizopita kuna teuzi zilifanyika,ajabu ni baadhi ya watu hapa jukwaani na kwingineko kukaanza maandishi kua Mama anapendelea upande wa waislamu!!
Haya leo mtajitokeza?!!
Wengine tunafahamu nafasi nyingi nyeti zinashikiliwa na upande wa hao wanaolalamika na always imekuwepo hivyo.
Kuna mengi Watanzania kuyapambania,haswa ufisadi wa dola na wateuzi wake,wizi Ni wizi,hauna dini!!View attachment 2679520
DP world inangwa vizuri , tujiongeze kuukataa huu mkatabaTumesha wazoea Dr Samia atabaki kuwa Rais wetu 2030
Tamisemi wanadili na Shule Wizara ya Elimu inadili na Elimu!Nchi zingine Rais haundi wizara bila Bunge kujadili na kupitisha...
Binafsi hakuna kitu kinanikera kama shule kuzipeleka wizara ya Tamisemi...
Yaani kuna wizara ya elimu ina dili na shule na bado tuna wizara ya Tamisemi ina dili na shule
Ni nzuri sana kwa watawala wanakula na kusanza na hakuna Cha kuwafanya kwa kuwa tumejaa unafki na ulafiTuna katiba mbovu haijawahi kutokea Ko kote kule
Huwezi dili na shule huku unahamisha na walimuTamisemi wanadili na Shule Wizara ya Elimu inadili na Elimu!