Everything can be learnt, uzuri yule mwamba anasoma sanaProf. Mkumbo alisomea mambo ya uchumi au ndiyo Mafuru atamsaidia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Everything can be learnt, uzuri yule mwamba anasoma sanaProf. Mkumbo alisomea mambo ya uchumi au ndiyo Mafuru atamsaidia?
HAITASAIDIA KAMWE NI KUONGEZA GHARAMA KWA WALIPA KODIRais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara...
OkUsiwe negativity sana
Ngwini huyo,alisomea sociolojia .Sema uwaziri yeye ni kuagiza tu.Watendaji ni Katibu na wengine.Prof. Mkumbo alisomea mambo ya uchumi au ndiyo Mafuru atamsaidia?
Safi Sana Rais, piga kazi achana na hao wagalatia wanaosapotiwa na ppengoRais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara...
Hama nchiDoing what she does best, being incompetent and predictable.
Kuongeza gharama za serikali kwa kuweka uoza ule ule.
Anyways wakati wake huu.
Kkenge wewe,soon anaewatuma yule mzee mwanya ndio anapangiwa nafasi huko pahala mbaliUjinga at its best. Eeh Mungu, mpatie majukumu mengine huyu punguwani
Ndo muhame nchiIle sheria ya kupitisha mkataba wa milele.sasa itapita.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Prof. Mkumbo alisomea mambo ya uchumi au ndiyo Mafuru atamsaidia?
Atawekwa askofu ppengoBado Wizara OR masuala mtambuka ya Dini-Waziri atakuwa Sheikh Said Mwaipopo!
Salaam kutoka Lilongwe.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara...