johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Walimu ni Miundombinu ya shule!Huwezi dili na shule huku unahamisha na walimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu ni Miundombinu ya shule!Huwezi dili na shule huku unahamisha na walimu
Watanzania wamapaswa kujifunza kitu hasa kuweka hawa Waswahili Ikulu
Kujipendekeza kunaleta ulaji siku hizi.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
Ah waporipori mumejua kuvaa tena imekuwa balaa katika nchi hii.Watanzania wamapaswa kujifunza kitu hasa kuweka hawa Waswahili Ikulu
Hayo ni mabadiliko ya kimuundo ni kama wote waliokuwepo kama mwigulu,kijazi etc ni walewale mpya hapo sana sana ni waziri MkumboSalam wandugu,
Wiki kadhaa zilizopita kuna teuzi zilifanyika,ajabu ni baadhi ya watu hapa jukwaani na kwingineko kukaanza maandishi kua Mama anapendelea upande wa waislamu!!
Haya leo mtajitokeza?!!
Wengine tunafahamu nafasi nyingi nyeti zinashikiliwa na upande wa hao wanaolalamika na always imekuwepo hivyo.
Kuna mengi Watanzania kuyapambania,haswa ufisadi wa dola na wateuzi wake,wizi Ni wizi,hauna dini!!View attachment 2679520
Bi Mkubwa kwa jina la Mwenyezi Mungu na vilio vya Watanzania hii Nchi itakushinda tu. [emoji120]
Tanzania ina Machifu wawili tu...Chief Mangungu, ambaye ni almarhum....na sijui nani tena.Kweli wapiga debe ndio wanaoteuliwa nchi hii!
Ruto atatawala kwa muda mfupi kama Magufuli na baadaye Kenya kwa mara ya kwanza itakuja kuwa na Rais Mwanamke.Mungu Ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
Wataelewana kweli maana wote wajuaji na wanafiki![emoji1787]naibu atakuwa askofu josephat gwajima
Ulikua unataka iweje? Rais ni taasisi ana washauri wanaomuongoza kutekeleza baadhi ya maamuzi.Doing what she does best, being incompetent and predictable.
Kuongeza gharama za serikali kwa kuweka uoza ule ule.
Anyways wakati wake huu.
Huyu hamna kitu,sijajua huwa anamwacha kwasababu gani!DKT. ASHATU KIJAJI ATEULIWA KUWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Miundo ya Wizara ambapo ameunda Wizara ya Viwanda na Biashara na amemteua aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji...
Huyu anapinga DPW,hafai!Atawekwa askofu ppengo
Tumbo ni hatari sana, linafanya mtu apige kelele kama zote kutetea DP world kumbe. Alafu wizara yenyewe ngumu mno kuliko zote. Migogoro ya ardhi kibao sababu ya kufungua nchi. Amepewa kaa la moto kiganjani.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara...
Na hapo ndipo Rais alipofeli kabisa. Yaani anamzawadia uwaziri mtu anayetetea uovu. Hiyo inamaanisha Rais anapenda uovu.Nilijua tu. Kwa kelele zile za Mkumbo kwenye azimio la Bandari, anatafuta ulaji.