Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

Watanzania wamapaswa kujifunza kitu hasa kuweka hawa Waswahili Ikulu
Ah waporipori mumejua kuvaa tena imekuwa balaa katika nchi hii.

Safari hii kimyaa maana walioteuliwa wote wakristo, hakuna aliyepiga hesabu, kwa hivyo mumetafuta jengine la waswahili.
 
Salam wandugu,
Wiki kadhaa zilizopita kuna teuzi zilifanyika,ajabu ni baadhi ya watu hapa jukwaani na kwingineko kukaanza maandishi kua Mama anapendelea upande wa waislamu!!

Haya leo mtajitokeza?!!

Wengine tunafahamu nafasi nyingi nyeti zinashikiliwa na upande wa hao wanaolalamika na always imekuwepo hivyo.

Kuna mengi Watanzania kuyapambania,haswa ufisadi wa dola na wateuzi wake,wizi Ni wizi,hauna dini!!View attachment 2679520
Hayo ni mabadiliko ya kimuundo ni kama wote waliokuwepo kama mwigulu,kijazi etc ni walewale mpya hapo sana sana ni waziri Mkumbo
 
Kila kitu, kabla ya kutokea mabadiliko, huwa kinaonyesha dalili mbadala.
Mwenye macho haambiwi ona. Muda unazidi kusema.
 
Hivi kuzigawa wizara tena ndio suluhisho la matatizo? Ndio kutaondoa kelele zilizopo sasa? Tumetoka huko kwenye mawizara mengi, tunarudi tena? What is happening? Mbona kila move ni ya kubomoa na si kujenga?
 
Doing what she does best, being incompetent and predictable.

Kuongeza gharama za serikali kwa kuweka uoza ule ule.

Anyways wakati wake huu.
Ulikua unataka iweje? Rais ni taasisi ana washauri wanaomuongoza kutekeleza baadhi ya maamuzi.
 
DKT. ASHATU KIJAJI ATEULIWA KUWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Miundo ya Wizara ambapo ameunda Wizara ya Viwanda na Biashara na amemteua aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji...
Huyu hamna kitu,sijajua huwa anamwacha kwasababu gani!
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara...
Tumbo ni hatari sana, linafanya mtu apige kelele kama zote kutetea DP world kumbe. Alafu wizara yenyewe ngumu mno kuliko zote. Migogoro ya ardhi kibao sababu ya kufungua nchi. Amepewa kaa la moto kiganjani.
 
Ni yale yale tu hakuna jipya nikama kubadilisha nauli ya daladala mara kwanza unampa konda kwa kuitoa mfuko wa kulia, konda akirudisha change unatia mfuko wa kushoto
 
Huu mzigo tunaubeba sisi wapiga kura? Mana hizi office zote zina enda kuwa na Expenditure vipi Budget yake itakuwa kiasi gani?
 
Nilijua tu. Kwa kelele zile za Mkumbo kwenye azimio la Bandari, anatafuta ulaji.
Na hapo ndipo Rais alipofeli kabisa. Yaani anamzawadia uwaziri mtu anayetetea uovu. Hiyo inamaanisha Rais anapenda uovu.
 
Back
Top Bottom