Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
OkUlikua unataka iweje? Rais ni taasisi ana washauri wanaomuongoza kutekeleza baadhi ya maamuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkUlikua unataka iweje? Rais ni taasisi ana washauri wanaomuongoza kutekeleza baadhi ya maamuzi.
Kuna watu huwa nawaeleza hili jambo hawaelewi,huwezi kutegemea wageni washike njia kuu za uchumi at the same time utegemee watu wako waondoke kwenye umasikini.Nchi isiyowekeza kwenye R&D, itaendelea kuburuzwa hadi kiama...
Nchi inayotegemea siasa na wanasiasa kuleta mapinduzi ya kiuchumi au maendeleo ya kiuchumi, itaendelea kuburuzwa hadi kiama...
Nchi inayotegemea wajenzi wa nchi wawe ni wageni na sio wazawa, itaendelea kuburuzwa hadi kiama...
punguani mamako we zuzuUjinga at its best. Eeh Mungu, mpatie majukumu mengine huyu punguwani
katafute bandari ya mamako, mnafiki mkubwaTunataka bandari zetu
failure mamako kuzaa pumbavu km weweHuyu ni failure haijasaji tokea, yaani na.haitakaa itokee tena
Kabaki FaizaFoxy naye apewe zawadi yakeHiyo ni zawadi baada ya Mkumbo kupambania sana lile jambo letu
punguani mamako we zuzu
Ana hoja ya msingi huyu asipuuzwe.Hiyo ni zawadi baada ya Mkumbo kupambania sana lile jambo letu
JamiiForums mbona huyu mdau anatukana sana members humu ndani jamanifailure mamako kuzaa pumbavu km wewe
Katika kikao cha ndani cha CCM alikuwa ni mpingaji mkuu wa suala la bandari, Alipewa shule nzito ya suala zima na Hamza Johari aliposimama na akabadilika na kuwa muungaji mkono mkubwa.Azimio la bandari Kitila Mkumbo ndio alikuwa wa Kwanza kuongea bungeni na aliitumia vizuri hiyo nafasi
Si chochote, si lolote!Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-
DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha
Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-
DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo
Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara
Si View attachment 2679459
Ana kampuni zake pia za Clearing uyo...Prof mkumbo siku ya kupitisha mkataba bungeni, akivyopiga debee, haya huku nje kila leo kusifia, kumbe alikua anataka ulajiii.
Woiiiiiiiih, ni tengua na teuaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaziii ipoo
yaani acha tu …Yani hali yetu inasikitisha. [emoji3525]
Vipi umeshaolewa?katafute bandari ya mamako, mnafiki mkubwa