Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Huu sio mkopo,Kikubwa deni ni stahimilivu
Mbona mnamlisha maneno?Baada ya kuahidi kumwachia mwamba Mbowe
Naskia kaambatana na Rais mtarajiwa @ mwigulu nchembaHuyu Mama ni mtu mwenye akili sana,
Tanzania itafika mbali Sana
Hizo pesa ameokota???Huu sio mkopo,
Yaani Rais Samia katembea bure? kama katembea bure mbona kalamba mkwanja??!!
Ni nini?Huu sio mkopo,
MisaadaNi nini?
Huyo Mbowe hana cha umwamba wala nini. Mwamba gani analialia njaa mahakamani?Baada ya kuahidi kumwachia mwamba Mbowe