Rais Samia avuna TZS 677BL Ufaransa

Rais Samia avuna TZS 677BL Ufaransa

Wafaransa wamechukua nini au watachukua nn kwetu. Au watatoa ushawishi gani kwetu kiuchumi kijamii kijeshi na kijasusi ili kulinda maslahi yao sisi tukipoteza maslahi yetu makubwa kuliko izo bilioni walizotugawia
 
Baada ya kuahidi kumwachia mwamba Mbowe
Kuna wahuni nchi za ulaya walifadhili huo mpango wa mbowe kufanya ugaidi lakini haukupata baraka za serikali za ulaya ni wahuni magenge ya kihuni ndio maana mama Samia ziara zote ulaya na marekani hakupokelewa na mabango ya kumpinga au kudai demokrasia

Chadema walitaka kutumia magenge ya kihalifu Ku di stablize Tanzania ambayo hayana approval za serikali za Ulaya na marekani

Ulaya na marekani wana investments kibao ndio maana Mama Samia anapokelewa vizuri popote akienda ulaya au marekani

Migenge ya kihalifu ya akina Amsterdam nk ambayo haina approval ya serikali zao ulaya na marekani haipewi nafasi .Chadema imekula kwenu
 
View attachment 2120390

" Mtembea bure si sawa na mkaa bure"
Wenye wivu na akili fupi tayari wameshaanzisha ubaguzi. Sisi watanganyika na wao wazanzibari, wenye maono kama taa ya baiskeli wameshaanzisha chokochoko wakitaka kuvunja muungano.

Usiku wa kuamkia tarehe 9 Desemba 1961 nchi hii iliwekwa chini ya uangalizi wa Mungu pale Saint Joseph, huwa mfarakano wowote ule wenye nia ya kuvunja Tanzania unakufa kifo cha kawaida kabisa.
 
View attachment 2120390

" Mtembea bure si sawa na mkaa bure"

Shida umeandika kishabiki as if hiyo hela ni ya bure vile...ulitakiwa kuandika Samia afanikiwa kupata mikopo yenye thamani ya zaidi ya billion 600huku zanzibar ikipata mgao wa zaidi ya billion 200 za mkopo!

Kumbuka hizi hela ni za mkopo na tunarudisha na cha juu...tuache kusifia hata vitu ambavyo si vya kusifia...,

Hivi unajua kuvuna wewe? Watakao vuna ni waliotukopesha ...sisi tutakiona cha mtema kuni!
 
[emoji871]Kwa hiyo Tanzania[emoji1241], tumegeuka Matonya@tz?
nchi ya Chakupewa?

[emoji871]Kwamba tumekuwa nchi ya kwenda kuombaomba na kufurahia kupewa bila kutafakari masharti yatakayoandamana na mikopo hiyo?

[emoji871]Kwamba sasa kazi ni kuinadi nchi kwa wenye Pesa zao waje wachukuwe chochote watakacho?

[emoji871]Kwa hiyo hizi Code za Google Map mnatuzugia kupitia anuani za makazi kumbe lengo kuu ni kumrahisishia mama kazi ya kuiuza nchi na raslimali zake?

[emoji871]Mungu alituumba wa ajabu sana sisi watanzania!
 
Shida umeandika kishabiki as if hiyo hela ni ya bure vile...ulitakiwa kuandika Samia afanikiwa kupata mikopo yenye thamani ya zaidi ya billion 600huku zanzibar ikipata mgao wa zaidi ya billion 200 za mkopo...
[emoji871]Bora uyaambie haya mazwazwa!

[emoji871]Itanichukua muda mrefu sana kuzielewa akili za baadhi ya watanzania!
 
Wewe sio Mzanzibari ila ni mchonganishi
Kwahiyo kufurahia maendeleo ya sehemu ninayotoka ni uchonganishi? Unakataa kwamba hatujufaiki na huu uongozi mzuri wa awamu hii?

Ni muda wa Zanzibar kuneemeka.
 
Kuna wahuni nchi za ulaya walifadhili huo mpango wa mbowe kufanya ugaidi lakini haukupata baraka za serikali za ulaya ni wahuni magenge ya kihuni ndio maana mama Samia ziara zote ulaya na marekani hakupokelewa na mabango ya kumpinga au kudai demokrasia

Chadema walitaka kutumia magenge ya kihalifu Ku di stablize Tanzania ambayo hayana approval za serikali za Ulaya na marekani

Ulaya na marekani wana investments kibao ndio maana Mama Samia anapokelewa vizuri popote akienda ulaya au marekani

Migenge ya kihalifu ya akina Amsterdam nk ambayo haina approval ya serikali zao ulaya na marekani haipewi nafasi .Chadema imekula kwenu
Kwahiyo sio mabeberu tena....ila mataga kwa Uturn mko vzr..kesho na kesho kutwa akitokea wa kusema hatoki nje ya nchi..mtamshambulia na kumpuuza mtembea bure.

#MaendeleoHayanaChama
 
Attachments

  • Screenshot_20220215-223802.jpg
    Screenshot_20220215-223802.jpg
    114.2 KB · Views: 19
Hakuna Binadam asiye na makosa.... Basi yule Mgogo ajengewe hata sanamu ndogo tu.
 
Back
Top Bottom