Rais Samia avuna TZS 677BL Ufaransa

Rais Samia avuna TZS 677BL Ufaransa

Tulipotoshwa sana, ni kweli kwamba Tanzania bado tunahitaji usaidiiziwa wa mataifa ya kibeberu.
 
View attachment 2120390

" Mtembea bure si sawa na mkaa bure"
Eti kavuna,shambani kwake!? Aisee mimi mtu anayechekelea mikopo namuona zuzu sana,I must be frank.Ni tabia za kitumwa na kupenda kutumikishwa.

Kitabu cha Mithali 22:7 kinasema,
"Matajiri huwatawala maskini,naye akopaye ni mtumwa wa akopeshaye." Tutapenda kutumikishwa mpaka lini,can't we ever stand on our own feet,kwani wao waliwezaje.Aibu sana.
 
Wenye wivu na akili fupi tayari wameshaanzisha ubaguzi. Sisi watanganyika na wao wazanzibari, wenye maono kama taa ya baiskeli wameshaanzisha chokochoko wakitaka kuvunja muungano.

Usiku wa kuamkia tarehe 9 Desemba 1961 nchi hii iliwekwa chini ya uangalizi wa Mungu pale Saint Joseph, huwa mfarakano wowote ule wenye nia ya kuvunja Tanzania unakufa kifo cha kawaida kabisa.
Kuweka rekodi sawa. 1961 ilikuwepo Tanganyika,Tanzania haikuwepo
 
Ila wabongo
Huyu Mama ni mtu mwenye akili sana,

Tanzania itafika mbali Sana

IMG_20211029_105959.jpg
 
Yaani Ufaransa waje kuvuna samaki baharini halafu tunawapa jukumu la kutulindia bahari yetu??

Duuh.
 
Back
Top Bottom