Rais Samia avuna TZS 677BL Ufaransa

Tulipotoshwa sana, ni kweli kwamba Tanzania bado tunahitaji usaidiiziwa wa mataifa ya kibeberu.
 
View attachment 2120390

" Mtembea bure si sawa na mkaa bure"
Eti kavuna,shambani kwake!? Aisee mimi mtu anayechekelea mikopo namuona zuzu sana,I must be frank.Ni tabia za kitumwa na kupenda kutumikishwa.

Kitabu cha Mithali 22:7 kinasema,
"Matajiri huwatawala maskini,naye akopaye ni mtumwa wa akopeshaye." Tutapenda kutumikishwa mpaka lini,can't we ever stand on our own feet,kwani wao waliwezaje.Aibu sana.
 
Kuweka rekodi sawa. 1961 ilikuwepo Tanganyika,Tanzania haikuwepo
 
Yaani Ufaransa waje kuvuna samaki baharini halafu tunawapa jukumu la kutulindia bahari yetu??

Duuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…