Amemsahau Mwakyembe alipo pata umaarufu akiwa mwenyekiti wa tume iliyo undwa na JkKumbukumbu zako ziko vizuri kweli????
Unamjua inshu za Richmond iptl ziliibuliwa na RIPOTI ya nani na kipindi gani????
Kipindi Cha jk ofisi ya CAG ndo angalau ilianza pewa bajeti kubwa na kupewa angalau meno japo hayang'ati vizuri Hadi Sasa hivi
Mmawia wewr ni mpumbavu na hujaelimika. Kwa maana hiyo unataka tuamini kuwa kibarua cha Rais Dkt Samia enzi akiwa chini ya Dkt Magufuli ilikuwa kuratibu maujai ya bosi wake afe ili yeye awe rais???? Hii kauli yako Mmawia ni mbaya sana na inaharibu taswira ya uzalendo wa Rais Dkt Samia. Sisi kama chawa wa Rais Dkt Samia tunasema Dkt Samia na Dkt Magufuli ni kitu kimoja, wembe ule ule, yeye alitoa uhuru wa watendaji na wamejisahau sasa ngoja panga lipite.Huyo kwenye sukuma gang alikuwepo sababu ya kibarua tu
Nilitaka kuuliza hili swaliKadogosa Kadogoso Kadogoso,JIANDAE!
Kama rais yuko soft then bunge litakuwa kama yaiKiukweli sikumbuki vizuri.
Nakaumbuka bunge ndio lilichukua hatua , jamaa alikua soft sana
Kamwamshe yule mchawi aturudishie trillion 1.7 zetu shuwain!Ni mpumbavu pekee anaefikiri kuna hatua zitachukuliwa zaidi ya hiyo ya kutenguliwa pekee
Vidagaa tu hao, hamna kambale hapo!.Ni Moto Umewashwa na Rais Samia bila huruma kwa wezi wote
Hii ndio Fb ya mimi[emoji55]! Pole sana kwa makasiriko kiongozi!Hii ungepeleka kule fb
Wakibainika ni wezi kweli wote wanyongwe hadharaniSema wanatakiwa kuwa mfano ili siku nyingine wawe makini
Acha kufurahia anguko la wenzio wasio na hatia.Akiguswa Maderu nitachinja kuku
Tatizo wewe una mihemko wala hutaki kuushirikisha ubongo wako vema ili ufanyekazi.Mmawia wewr ni mpumbavu na hujaelimika. Kwa maana hiyo unataka tuamini kuwa kibarua cha Rais Dkt Samia enzi akiwa chini ya Dkt Magufuli ilikuwa kuratibu maujai ya bosi wake afe ili yeye awe rais???? Hii kauli yako Mmawia ni mbaya sana na inaharibu taswira ya uzalendo wa Rais Dkt Samia. Sisi kama chawa wa Rais Dkt Samia tunasema Dkt Samia na Dkt Magufuli ni kitu kimoja, wembe ule ule, yeye alitoa uhuru wa watendaji na wamejisahau sasa ngoja panga lipite.
Wai kalinde kaburi la jiwe
BUNGE liluchukua hatia Kwa reference ya RIPOTI ya nani???Kiukweli sikumbuki vizuri.
Nakaumbuka bunge ndio lilichukua hatua , jamaa alikua soft sana
Nikasilke nini wakati mimi huu ndiyo muda wangu wa kuongezea kitambi changu?Hii ndio Fb ya mimi[emoji55]! Pole sana kwa makasiriko kiongozi!
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Hii. Bado ni wachache kumejaa uozo mkubwa sana Kuna watu wahusika na wizi wanaotakiwa kuondoka.Wale ndugu almaarufu "stupid people" mambo iko huku:
View attachment 2582521
Kwa aliyetajwa na CAG sasa ni suala la muda tu.
Aungurumapo simba mcheza nani?
Daaah hao walionewa tuMbuzi wa Kafala wamechacha . Ametafutwa sungura wa kafala Haaa.
Akina Mashimba Ndaki mbuzi wa kafala, Kabudi mbuzi wa Kafala, Lukuvi mbuzi wa kafala. Haaa.
January Makamba Mbuzi wa kufugwa hawezi chinjwa, Makame Mbarawa mbuzi wa kufugwa haitaiweje hawezi kuchinjwa, Napee je Vp kuhusu Ummy Mwalimu,
je kuna inawezekana MKRISTO akawa mbuzi wa kufugwa? haaa, et nani......... mataje
Kwani mwanzo wa hesabu au unaaza na 0?Hii. Bado ni wachache kumejaa uozo mkubwa sana Kuna watu wahusika na wizi wanaotakiwa kuondoka.
Hii ndogo
Sasa ndio maana katibu mkuu kiongozi ameambiwa afanyie kazi. Kumbuka suala la NDEGE halipo kwenye ripoti ya CAGRais kwa mamlaka yake kisheria, ana uwezo wa kuteua na kutengua walio chini yake, na kama imethibitika walisababisha uzembe uliozaa wizi mpaka aagize wadogo kuchunguzwa, hao wakubwa walio chini yake anawaacha wa kazi gani?
Achaga maupuuz basi kwenye ishu siriazmama hana sikuku lakini chadema hawana shukurani