Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Amemsahau Mwakyembe alipo pata umaarufu akiwa mwenyekiti wa tume iliyo undwa na JkKumbukumbu zako ziko vizuri kweli????
Unamjua inshu za Richmond iptl ziliibuliwa na RIPOTI ya nani na kipindi gani????
Kipindi Cha jk ofisi ya CAG ndo angalau ilianza pewa bajeti kubwa na kupewa angalau meno japo hayang'ati vizuri Hadi Sasa hivi