Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

Tatizo wewe una mihemko wala hutaki kuushirikisha ubongo wako vema ili ufanyekazi.

Nimesema hivi hakuwa na maamuzi ( nilimaanisha hivyo maana alikuwa ni makamo tu,unadhani kwa jiwe subordinate wake angeweza kumshawishi nini jiwe kubadili mawazo?
Wewe ni mpuuzi kabisa. Ninyi ndiyo mnatengeneza kauli za kuja kummaliza Rais Dkt Samia 2025, mnaanza na hizi kauli ili we rahisi kwenu kupindua meza. Yeye pamoja na kuwa makamu wa rais lakini alikuwa ndiye mwandani wa Dkt Magufuli na hakuna mtu aliyekuwa anampenda kama Dkt Samia. Alipenda sana ushirikina mawazo yake. Vyote alivyofanya Dkt Magufuli ilikuwa ni matokeo ya ushauri wa vyombo vyote including Dkt Samia. Na ndiyo maana kwa kauli yake Dkt Samia alishasema yeye na Dkt Magufuli ni kitu kimoja. Sasa hebu mpigie simu umuambie abadili kauli aseme yeye na Dkt Magufuli siyo kitu kimoja hapo sisi chawa wa mama tutakuelewa, zaidi ya hapo wewe ni pimbi mleta fujo hupaswi kusikilizwa mpuuzi kabisa
 
Hizo ni hatua za ki Uoga Uoga anapapasa tu,atengue mawaziri wanaosimamia hizo taasisi kama alivyowatoa wengine
 
Kazi imeanza......

, naamini safari hii hakuna atakaye salimika kama tu amehusika either moja kwa moja or indirect, au kazembea kutimiza wajibu wake au makosa yamefanywa na walio chini yake.
kwamb katibu akadili na waziri? kafunika mamb tusifuatilie zaid

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli, alichokifanya ni hatua kubwa sana maana yake wajikaange na mafuta yao wenyewe kwanza. Tupunguze kulalamika bila hata ya kufikiria kwa kina kuhusu kile kinachofanyika.
 
Baada ya kuitwa stupid hao wataambiwa tu wakaokote makaratasi bara barani kama kina Mramba.

Kesi kwisha na hela wamekula.
 
Tangu ripoti ya CAG ilivyo toka na Rais

kuonyeaha kukerwa ilitakiwa tuone baadhi ya

Viongozi wakijiuzulu lakini wapi wamejilausha

kama vile sio wao!!!!

Wanasubiri hadi wafukizwe
 
Nikasilke nini wakati mimi huu ndiyo muda wangu wa kuongezea kitambi changu?

Fuatilia thread zangu then utanelewa niko wapi!
" nikasilke " nikasirike!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]! Hata uwe kaburini mkuu, kwangu hainihusu wala sihitaji kujua na wala haihusiani na lolote lililokufikisha hapa, wala si lazima ujielezee kwangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787], is non of my business! Kwa upande wangu mimi, nipo hapa hapa duniani sio huko unapotaka nijue ulipo

Pole sana!

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hizi anazochukua sio hatua? Kumbuka Rais Huwa hana mihemko na hataki kumuonea mtu.

Ukweli ukibainika wote wataondoka.
kwamb mtendaj amshughulikie diwan ? huyo katibu sio wa kudili na mambo wazir anahusika , 42B sio pesa ya kupigwa na wanyonge , mama kaamua kuyapeleka mambo sehem hatuez fuatilia

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Sioni kitu hapo, maigizo tu, hao mawaziri na makatibu wakuu waliosimamia huo uzembe wanafanya nini ofisini?
 
Tangu ripoti ya CAG ilivyo toka na Rais

kuonyeaha kukerwa ilitakiwa tuone baadhi ya

Viongozi wakijiuzulu lakini wapi wamejilausha

kama vile sio wao!!!!

Wanasubiri hadi wafukuzwe
 
Hii bodi haina muda sana
 
Sometimes uwe unatuliza kijambio
hasira za nini ? mbona hiyo kitu iko waz ? 41B hii kesi ilibid rais mwenyew aifuatilie sio kuwapa watu mzigo mzito hapo hadi mawazir wamo , unategemea huyo katibu atawaweza hao ? kesi ya fisi haimalizw na fisi , huyo katibu atapewa kitu kdg yataishia chini chini , nyiny wakijan ndo mnafanya nchi haipigi hatua maana ushabiki wa kijinga mmeweka mbele

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Katibu mkuu/mtendaji mkuu wa taasisi,idara na wakala wa serikali ndio maafisa masuuli na ndio wajibu hoja wakuu wa taarifa ya CAG
Sasa kwanini Rais akaagiza hao makatibu wakuu wawachunguze wa chini yao na ikibidi hatua dhidi yao zichukuliwe?

Inawezekana vipi hao wasaidizi kufanya jambo bila kushirikishwa makatibu wakuu? na kama makatibu wakuu walishirikishwa, kwanini wawachunguze hao wasaidizi ikiwa nao ni sehemu ya tatizo?
 
Dunia inavisa sana , huyu Rais, kama yeye ni muoga ,siatupishe .

Kwann Urais uwe mtamu Kwa fahari na ulaji ,lkn yeye mwenyewe mzembe na muoga ?.


Kwa kauli hiii inamaana Hawa Mawaziri waloguswa na CAG, wataendelea kudunda tu vizuri
Hii ndio inaitwa unaruka mkojo unakanyaga mavi
Usikute Tanzania ndio channel ya vichekesho Mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…