ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ni mteule wa Rais Katibu haweziMchawi yule labda Katibu Mkuu Uchukuzi atamtoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mteule wa Rais Katibu haweziMchawi yule labda Katibu Mkuu Uchukuzi atamtoa
Wewe ni mpuuzi kabisa. Ninyi ndiyo mnatengeneza kauli za kuja kummaliza Rais Dkt Samia 2025, mnaanza na hizi kauli ili we rahisi kwenu kupindua meza. Yeye pamoja na kuwa makamu wa rais lakini alikuwa ndiye mwandani wa Dkt Magufuli na hakuna mtu aliyekuwa anampenda kama Dkt Samia. Alipenda sana ushirikina mawazo yake. Vyote alivyofanya Dkt Magufuli ilikuwa ni matokeo ya ushauri wa vyombo vyote including Dkt Samia. Na ndiyo maana kwa kauli yake Dkt Samia alishasema yeye na Dkt Magufuli ni kitu kimoja. Sasa hebu mpigie simu umuambie abadili kauli aseme yeye na Dkt Magufuli siyo kitu kimoja hapo sisi chawa wa mama tutakuelewa, zaidi ya hapo wewe ni pimbi mleta fujo hupaswi kusikilizwa mpuuzi kabisaTatizo wewe una mihemko wala hutaki kuushirikisha ubongo wako vema ili ufanyekazi.
Nimesema hivi hakuwa na maamuzi ( nilimaanisha hivyo maana alikuwa ni makamo tu,unadhani kwa jiwe subordinate wake angeweza kumshawishi nini jiwe kubadili mawazo?
Hizo ni hatua za ki Uoga Uoga anapapasa tu,atengue mawaziri wanaosimamia hizo taasisi kama alivyowatoa wengineRais Samia anaendelea kudhihirisha kwamba hakuna atakayebaki salama atakayechezea mali za umma. Tumezoea ripoti za CAG kila mwaka zinatoka lakini hakuna hatua za waziwazi zinachukuliwa, kwa mara ya kwanza Rais Samia anachukua hatua za waziwazi.
Rais Samia amemuelekeza Katibu Mkuu Kiongozi kuhakikisha kuwaeleza Makatibu Wakuu wote wasome ripoti ya CAG na kujibu hoja zote na kuzifanyia kazi huku akiagiza Watendaji wote wabadhirifu na wazembe wachukuliwe hatua za haraka za kisheria mara moja.
SOURCE: TAARIFA KWA UMMA KUTOKA IKULU MUDA HUU.
kwamb katibu akadili na waziri? kafunika mamb tusifuatilie zaidKazi imeanza......
, naamini safari hii hakuna atakaye salimika kama tu amehusika either moja kwa moja or indirect, au kazembea kutimiza wajibu wake au makosa yamefanywa na walio chini yake.
Sio kweli, alichokifanya ni hatua kubwa sana maana yake wajikaange na mafuta yao wenyewe kwanza. Tupunguze kulalamika bila hata ya kufikiria kwa kina kuhusu kile kinachofanyika.Inashangaza sana, kwanini Rais anawaagiza makatibu wakuu na watendaji wakuu wahakikishe wanapitia ripoti na kuwawajibisha wale waliohusika na uzembe?
Yeye kama Rais anachukua hatua gani kwa hao wakuu waliosimamia huo uzembe wakiwemo mawaziri?
Alichokifanya Rais hapo ni sawa na kufunika kombe mwanaharamu apite, sioni jipya.
" nikasilke " nikasirike!Nikasilke nini wakati mimi huu ndiyo muda wangu wa kuongezea kitambi changu?
Fuatilia thread zangu then utanelewa niko wapi!
kwamb mtendaj amshughulikie diwan ? huyo katibu sio wa kudili na mambo wazir anahusika , 42B sio pesa ya kupigwa na wanyonge , mama kaamua kuyapeleka mambo sehem hatuez fuatiliaKwani hizi anazochukua sio hatua? Kumbuka Rais Huwa hana mihemko na hataki kumuonea mtu.
Ukweli ukibainika wote wataondoka.
hapo anahusika wazir pia , hv inaezekana hao vidampa wakamdili waziri? hapo wapo watawekwa chambo ili mwanaharam apiteNdio mamlaka zao za nidhamu/uwajibikaji..so kwa hili Mh Rais yupo sahihi
Ngoja tuoneWale ndugu almaarufu "stupid people" mambo iko huku:
View attachment 2582521
Kwa aliyetajwa na CAG sasa ni suala la muda tu.
Aungurumapo simba mcheza nani?
Hii bodi haina muda sanaToka Maktaba :
17 February 2023
BODI MPYA YA WAKURUGENZI TRC, WATANZANIA WAWE WAVUMILIVU NA MRADI WA SGR
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Reli Tanzania Prof. John Wajanga Kondoro akiwa na wajumbe wapya wa Bodi ya Wakurugenzi TRC waliotambulishwa Bw. Benjamini Adam Mbimbi, Bw. Kondo Abdalah Kibugula, Bw. Joseph Elias Salema, Bw. Juma Samhando Kijavara na Bw. Peter Mayunga Noni wakipata maelezo
Habari kwa urefu :
17 February 2023
Dar es Salaam, Tanzania
WAJUMBE WAPYA WA BODI YA TRC WATEMBELEA SGR DAR-MORO, MWENYEKITI ANENA, MAENDELEO NA UJIO WA VIFAA. PIA WATANZANIA WAWE NA SUBIRA NA IMANI JUU YA MRADI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Reli Tanzania – TRC Prof. John Wajanga Kondoro ametambulisha wajumbe wapya wa bodi ya wakurugenzi TRC na kuwaaga wajumbe waliomaliza muda wao katika hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano ofisi ya makao makuu TRC jijini Dar es Salaam, Februari 2023.
Wajumbe wapya wa Bodi ya Wakurugenzi TRC waliotambulishwa ni Bw. Benjamini Adam Mbimbi, Bw. Kondo Abdalah Kibugula, Bw. Joseph Elias Salema, Bw. Juma Samhando Kijavara na Bw. Peter Mayunga Noni.
Wajumbe waliomaliza muda wao ni Bw. Wolfgang Ephraim Salia, Bi. Consolata Chrisostom Ngimbwa, Bw. Karim Godfrey Mattaka, Bw. Rogatus Hussein Mativila na Bw. Mahamud Mashaka Mabuyu.
Mwenyekiti wa Bodi Prof. Kondoro kwa niaba ya uongozi wa TRC amewashukuru wajumbe waliomaliza muda wao kwa mchango waliotoa kipindi chote walichokuwa katika nafasi za ujumbe na kuliwezesha Shirika kupiga hatua na kuongeza ufanisi katika utendaji wa Shirika.
“Lengo la kukutana hapa ni kutambuana na kutambua mchango wa wajumbe ambao wamelitumikia Shirika la Reli, waliingia katika kipindi ambacho tulikuwa kwenye sekeseke kuhusu maendeleo ya mradi wa SGR na mpaka tulipofika hapa, kwahiyo ni vyema kutambua mchango wao lakini pia kuwashukuru na kuwakaribisha wajumbe wapya” alisema Prof. Kondoro
Wajumbe wanaoendelea na nafasi zao ni pamoja na Bw. Jabir Bakari na Bi Lilian Ngilangwa. Baadhi ya wajumbe waliomaliza muda wao walipata fursa ya kutoa neno kwa menejimenti ya Shirika na kupongeza jitihada kubwa zilizofanywa kuhakikisha watumishi wanafanya kazi kwa weledi na kuleta tija katika utendaji wa Shirika.
“Nataka niwapongeze sana menejimenti hususani Mkurugenzi Mkuu, tunashukuru kwamba mradi unaendelea na vipande vyote vina wakandarasi, awali niliona menejimenti ni ndogo lakini nikupongeze Mwenyekiti kwa kuboresha muundo wa Shirika” alisema Bi. Consolata
Aidha, wajumbe wapya wamepata fursa ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma kwa lengo la kufahamu namna mradi wa SGR unavyotekelezwa na Shirika la Reli Tanzania.
“Lengo la ziara ni kwamba tumepata wajumbe wapya wa bodi, hivyo ni vizuri kuwapitisha wakajua mifumo na miundombinu watakayokuwa wanaisimamia ikiwemo hii SGR, hii ni sehemu ndogo tu lakini wakati mwingine watapata kutembelea maeneo mengine” alisema Prof. Kondoro.
Sources : TRC RELI TV / Mwanzo | TRC
hasira za nini ? mbona hiyo kitu iko waz ? 41B hii kesi ilibid rais mwenyew aifuatilie sio kuwapa watu mzigo mzito hapo hadi mawazir wamo , unategemea huyo katibu atawaweza hao ? kesi ya fisi haimalizw na fisi , huyo katibu atapewa kitu kdg yataishia chini chini , nyiny wakijan ndo mnafanya nchi haipigi hatua maana ushabiki wa kijinga mmeweka mbeleSometimes uwe unatuliza kijambio
Sasa kwanini Rais akaagiza hao makatibu wakuu wawachunguze wa chini yao na ikibidi hatua dhidi yao zichukuliwe?Katibu mkuu/mtendaji mkuu wa taasisi,idara na wakala wa serikali ndio maafisa masuuli na ndio wajibu hoja wakuu wa taarifa ya CAG
Ila ni mradi ambao hautalipa hata tuupe miaka 50Mradi huu wa ujenzi wa reli ya SGR Reli Mpya una pasua vichwa vya watendaji na kukamilika kwa matawi yote ya SGR ni mzigo unaotakiwa kubebwa na viongozi wenye vision pana :
https://www.jamiiforums.com/threads/mhandisi-reli-ya-sgr-mpya-kuchukua-miaka-15-kumalizika.1687467/
Hii ndio inaitwa unaruka mkojo unakanyaga maviDunia inavisa sana , huyu Rais, kama yeye ni muoga ,siatupishe .
Kwann Urais uwe mtamu Kwa fahari na ulaji ,lkn yeye mwenyewe mzembe na muoga ?.
Kwa kauli hiii inamaana Hawa Mawaziri waloguswa na CAG, wataendelea kudunda tu vizuri