Sasa kama ni hivyo hiyo bodi na mtendaji wa ATCL mbona hawajawajibika!! Na je kufukuzwa kazi kwa hawa kutafuta ongezeko la malipo kwenye ile invoice ya pili?Huyo ndio mhusika mkuu, TGFA ndiye mnunuzi kwa niaba ya serikali, ndege zinaponunuliwa anasaini yeye upande mmoja na mtendaji wa ATCL upande mwingine.
Hata mimi naona sio poa! Mfano Masanja Kadogosa kama alihusika inamaana Katibu wake wa wizara ya ujenzi ndo atamwajibisha na kupeleka taarifa kwenye mamlaka za uteuzi!Binafsi naona siyo sawa. Wanaweza wakalindana. Namuomba mhe. Rais Samia pamoja na kuwapa hiyo kazi lkn na yeye afuatilie kwa makini sana
Ndo hapo haiwezekani maana wao ndo wameshika stream kubwa ya upigaji kama ingekuwa wa Chin basi mda sana washawatimua ..Mmmm kama kukwepa majukumu hivi! Kuna mtu hataki lawama hapa!
Wakurungenzi na makatibu wakuu ndi wezi sana wa hizi pesa tena wachunguzane wao kwa wao?
Jamani hapa hakuna jipya yale yale ya miaka yote!Ndo hapo haiwezekani maana wao ndo wameshika stream kubwa ya upigaji kama ingekuwa wa Chin basi mda sana washawatimua ..
yeap ni walewale tu ndo Tanzania hyo.Jamani hapa hakuna jipya yale yale ya miaka yote!
Watu wataendelea kuiba kwa na kushirikia na jamaa zao ili wasichomane over!
Invoice za malipo zinawahusu TGFA wao ndio wanaomkabidhi ndege ATCL kwa niaba ya serikali, kwani yenyewe haifanyi biashara za ndege.Sasa kama ni hivyo hiyo bodi na mtendaji wa ATCL mbona hawajawajibika!! Na je kufukuzwa kazi kwa hawa kutafuta ongezeko la malipo kwenye ile invoice ya pili?
ATCL ni mwendeshaji tu sio mnunuzi wa ndege wa moja kwa moja kutoka kwa wauzaji
Hawana title hiyo kaka, TGFA anasign na bosi wa ATCL kumkabidhi ndege baada ya wao kuwa wameshazinunua. ATCL hana mawasiliano ya moja kwa moja na mtengenezaji wa ndege.Kama ATCL management hawahusiki, inakuwaje wanakuwa co-signatories kwenye manunuzi?
Daaah kuna maamzi yanafanyika unajiuliza hivi kweli kuna kiongozi wa nchi hii?Washauri wa MAMA ndiyo wanaompotosha,japo simaanishi mama anakubali tu,bila kurizoni
Mimi nadhani Makatibu wenyewe ni watuhumiwa( wafanyakazi wa serikali), Sasa watajichunguzaje kisha watoe majibu? Hili agizo linaonyesha Nia njema aliyonayo Mama yetu Rais ya kukomesha ubadhirlifu wa Mali za umma, lakini halitoi mwanga mzuri kumshughulikia tatizo! Kutakuwa na kuoneana.Rais ana akili huyu, ametanguliza mgambo believe maelekezo yote yanatoka kwake.
Yeye atakua anasema, katibu funga jera huyo.!!
Uongozi ni technical.
Asiwaache wanasiasa wenzake ambao wizara zao zimetajwa na CAG.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Aidha, Rais Samia ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Mhandisi John Nzulule.
Katika hatua nyingine, Mhe. Rais amemuelekeza Katibu Mkuu Kiongozi kuhakikisha kuwa Makatibu Wakuu na Watendaji Wakuu wote wa Taasisi za Serikali wanaipitia kwa kina tarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kujibu na kuzifanyia kazi kwa haraka hoja zote zinazogusa maeneo yao.
Vile vile, Mhe. Rais ameelekeza kuwa watendaji wote watakaobainika kuhusika na uzembe au ubadhirifu wachukuliwe hatua za kisheria.
View attachment 2582469
Haya ni maneno yako bwana Philipo kuwa" Ndege zinaponunuliwa anasaini yeye upande mmoja na mtendaji wa ATCL upande mwingine" na hiyo ndiyo maana ya co-signatories!! Sio kuwa ATCL management wanasign wanapokabidhiwa ndege!!Huyo ndio mhusika mkuu, TGFA ndiye mnunuzi kwa niaba ya serikali, ndege zinaponunuliwa anasaini yeye upande mmoja na mtendaji wa ATCL upande mwingine.
Tunataka wakae jelaKadogosa Kadogoso Kadogoso,JIANDAE!
Kuondoka kwao haisaidii , wafungwe na kufilisiwaKwani hizi anazochukua sio hatua? Kumbuka Rais Huwa hana mihemko na hataki kumuonea mtu.
Ukweli ukibainika wote wataondoka.
Anayehusika moja kwa moja na ile over invoicing aliyoisema rais pale ikulu ni TGAF sio ATCL, elewa hivyo mkuu Bulesi.Haya ni maneno yako bwana Philipo kuwa" Ndege zinaponunuliwa anasaini yeye upande mmoja na mtendaji wa ATCL upande mwingine" na hiyo ndiyo maana ya co-signatories!! Sio kuwa ATCL management wanasign wanapokabidhiwa ndege!!
Kwa uelewa wangu kiduchu, wenyewe hao wakurugenzi na Makatibu ni watuhumiwa ( rejea Aya ya mwisho ya taarifa).Inashangaza sana, kwanini Rais anawaagiza makatibu wakuu na watendaji wakuu wahakikishe wanapitia ripoti na kuwawajibisha wale waliohusika na uzembe?