Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

Ukiona hivyo jua kuna % kadhaa alikula kwa wahusika, hivyo anasita sita kuchukua hatua, kwa hilo kaonesha udhaifu wa hali ya juu mno.
 
Wewe Ajuza bila kumtaja Hayati hujisikii, au masharti ya sheikh ni kwamba ukimtajataja ndio unaingia hedhi.
Mkuu nyboma , heshima ni kitu cha bure, huna sababu ya kumtukana kwa kutumia udhalilishaji wa hali ya wanawake wote!. Na kwa taarifa yako, kwa mujibu wa michango yake humu, FaizaFoxy ni mkubwa kidogo kwangu!, mimi naelekea miaka 60, hivyo na yeye kama bado, atakuwa anaelekea 60, hilo tukano halimhusu!.

Hata hvyo japo siujui umri wako lakini Faiza anaweza kabisa kuwa ni mama yako wa kukuzaa!. Kutukana mtu yoyote wa umri wa mama yako ni sawa na kumtukana mama yako yako!. Unajichumia a bad karma ya bure!. Please stop this nonsense!.
P
 
Hapo nimekusoma viZuri sana kiongozi. Asante sana
 
Ikimpendeza mama, anipe nafasi ya ya uenyekiti wa bodi niibadilishe TRC iweze kutengeneza faida...
 
Sure ila unakuta zikifuatwa kanuni na sheria hapo we wont get that more 😂😂. Lets lower our expectation.
Why should we lower our expectations,sioni sababu.Mkuu tukifanya hivyo tutaliharibu taifa.Remember yeye ni role model,so she must excel,ili wengine waige kwake.No,we demand excellence.So far no, no,no.
 
Kama nakuelewa vile. Report ya Udhibiti!
CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa fedha za serikali.
Utaratibu wa matumizi ya fedha za serikali kutoka mfuko Mkuu hazina ni huu.
  1. Wizara, Idara na Wakala, zinatumia fedha za Mfuko Mkuu wa Hazina, hutuma maombi fedha za bajeti zao serikalini katika mafungu mawili, 1. Recurrent expenditure 2. Development budget
  2. Hupeleka bajeti hizo serikalini kwa the Councillor of the exchequer (MOF) ambapo Recurrent hupitishwa kama ilivyo.
  3. Kwenye recurrent upigaji ni mdogo, ukiondoa mishahara hewa, upigaji wa huku ni petty corruption ya kila mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake,, just 10% kwa kuongeza kitu kidogo cha juu ambapo GIPSA imesaidia sana kupitia taneps.
  4. Development budget huangalia chungu kinaruhusu kupitisha bajeti ya kiasi gani na hapa ndipo madudu yote kufanyika na huku ndiko kwenye the grand Corruption.
  5. Siku zote Tanzania tunapanga bajeti ya kutumia fedha ambazo hatuna na matokeo yake ni kutemea makosanyo, mikopo na ufadhili.
  6. Siku zote baada ya hatuna ya Bajeti kusomwa wabunge wote hushangilia!, kila nikiangalia wanachoshangilia sikioni nikauliza huku sio kushangilia ujinga?!.
  7. CAG Prof. Assad akatoa ushauri wa maana sana lakini akapuuzia.
  8. Baada ya Exchequer kupitisha bajeti, bajeti hizo hupelekwa Bungeni kujadiliwa kupitishwa na kuidhinishwa.
  9. Hapa sasa ndipo the role ya Mdhibiti huanzia, fedha haziwezi kutolewa ndani ya mfuko Mkuu wa Hazina bila ya mdhibiti kuridhia.
  10. Mfano bajeti ya ununuzi wa ndege iliyoidhinishwa na Bunge ni kiasi kadhaa, fedha kabla hazijatoka lazima CAG aidhinishe na huo ndio Udhibiti.
  11. Fedha pekee kutoka mfuko Mkuu wa Hazina zinazotolewa bila idhini ya CAG ni fedha za dharura na maafa tuu.
  12. Na baada ya CAG kuidhinisha matumizi ndipo hupita kila taasisi kufanya auditing na kutoa Ripoti ya CAG.
  13. Kama CAG ndie muidhinishaji, iweje aidhinishe matumizi zaidi ya approved budget?!
  14. Sasa zaidi ya Ripoti ya CAG ya ukaguzi, lets demands
  15. Ripoti ya Udhibiti tuone CAG alidhibiti nini kikapuuzwa watu wakapiga pesa!.
  16. Ripoti ya value for money kwa sio tuu kwa kila projects, hata kwenye Recurrent expenditure. Kuna tenda za common user items zina bei za ajabu!.
  17. Sio kila ongezeko la bei ni upigaji. Ongezeko jingine la bei ni genuine
  18. Sio kila ripoti chafu ya ukaguzi lazima ni upigaji, sometimes ni ukiukwaji tuu wa taratibu.
  19. Na sio kweli kila audit queries za CAG hazijajibiwa, nyingine zimeisha jibiwa ila ni baada ya exit meeting hivyo ripoti hazionyeshi delivery na mfano mzuri ni ile tenda ya uniform za polisi, by the time ripoti ya CAG imetoka, ikasema polisi wamelipia bilioni 4 kununua mzigo hewa, kumbe mzigo uliisha ingia na yule bidada supplier akavuta mabilioni yake akayamwaga kwa wajumbe wa Kawe, akaongoza kura za maoni za Kawe, Blaza akamchinja na kutupatia yule tapeli kwasababu ni ...
  20. Hivyo natoa wito kwa CAG aongezwe bajeti, afanye Udhibiti kabla hatujapigwa na tupate ripoti ya Udhibiti na sio ya ukaguzi pekee!.

Jumatatu Njema ya Pasaka.

P
 

Nifahamuvyo mimi @FaizaFox amekuacha kidogo Umri ni dada yako wa mbali kidogo
Kaanza kazi 1989
 
Nifahamuvyo mimi @FaizaFox amekuacha kidogo Umri ni dada yako wa mbali kidogo
Kaanza kazi 1989
Then tunaweza kuwa tumepisha mwaka 1 tuu maana mimi nimeanza kazi 1990.
Kwangu imetokea tuu tuu huyu dada FaizaFoxy , sio tuu namheshimu kwa michango yake tuu humu, bali pia imetokea pia nampenda na niliisha mwambia, https://www.jamiiforums.com/threads/faizafoxy-wanaonitongoza-waje-hapa.1533667/post-34214287
japo alinitukana sana na ananitukana sana, ila sisi tuliojaaliwa jicho la ndani, tunauona moyo wake mpaka ndani yake, hivyo hata akitukana vipi ni just paying lip services na tunaendelea kupenda!.
P
 
Hana uwezo wa kusoma report ya CAG, hana upeo huo na brain hio, concentration hana, content ndio kila kitu. Rais inatakiwa awe na record nzuri academically
 

Nimekuelewa Mkuu!
 
Hivi katika Moja ya hadidu rejea za Kazi za usalama waTaifa ni kuzuia ubadhirifu. Sasa cha kushangaza Kwann haya yanatokea na wao wapo au muundo wa idara hauruhusu kuingilia Ata wakiona tunapigwa
 
Maajabu kweli kweli.
 
Hivi katika Moja ya hadidu rejea za Kazi za usalama waTaifa ni kuzuia ubadhirifu. Sasa cha kushangaza Kwann haya yanatokea na wao wapo au muundo wa idara hauruhusu kuingilia Ata wakiona tunapigwa
Hao TISS nao ni binadamu, kwenye kila bodi za taasisi zote za umma kuna ma TISS, kwenye kila management za taasisi za umma kuna ma TISS, ila ma TISS nao ni human beings!, unakumbuka issue ya fedha za Kagoda, Zakia Meghji alipigiwa simu na nani na kuelezwa fedha ni za TISS Mission aidhinishe, na baada ya simu ile akaidhinisha!, kumbe fedha hazikuwa za TISS, zilipigwa!. https://www.jamiiforums.com/threads/kagoda-haina-kesi-hawafikishwi-mahakamani-ngo.42737/
P
 
Kama ni hivyo basi tuna TISS ambao hawafai kabisa kuwepo. Hivi kwa mfano pale TRC hadi tunapigwa na wale wapo kwann nao wasiwajibishwe kwa kutofanya kazi yao kwa weledi. Hii nchi nazan Kuna sehemu kwenye maadili tumekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…