Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

Kama ni hivyo basi tuna TISS ambao hawafai kabisa kuwepo. Hivi kwa mfano pale TRC hadi tunapigwa na wale wapo kwann nao wasiwajibishwe kwa kutofanya kazi yao kwa weledi. Hii nchi nazan Kuna sehemu kwenye maadili tumekosea
Kazi rasmi ya TISS ni usalama wa taifa na sio kuzuia tusipigwe!.
P
 
Kama ni hivyo basi tuna TISS ambao hawafai kabisa kuwepo. Hivi kwa mfano pale TRC hadi tunapigwa na wale wapo kwann nao wasiwajibishwe kwa kutofanya kazi yao kwa weledi. Hii nchi nazan Kuna sehemu kwenye maadili tumekosea
Labda wale top officers ila wale juniors waliopo kwenye local authorities wengi ni form 4 aseee ni weupe wale madogo mambo yanakwenda ovyo ovyo wao wapo tuuu
 
Ziba mdomo bunge kazi iendelee!
 
Wakati ule alipowafokea na kuwaita STUPID alichukua hatua gani za kisheria? Kimyaaaa. Na sasa anafoka tena.
Mheshimiwa SSH wakati umefika sasa uache kufoka na chukua hatua. Potelea mbali hata wakisema awamu ya tano imerejea. La sivyo kura yangu hutaipata nakuhakikishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…