Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kazi rasmi ya TISS ni usalama wa taifa na sio kuzuia tusipigwe!.Kama ni hivyo basi tuna TISS ambao hawafai kabisa kuwepo. Hivi kwa mfano pale TRC hadi tunapigwa na wale wapo kwann nao wasiwajibishwe kwa kutofanya kazi yao kwa weledi. Hii nchi nazan Kuna sehemu kwenye maadili tumekosea
P