Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kama yule MalaikaUzuri wa Mama hana haraka, anajiridhisha kwanza ili maamuzi yakichukuliwa kusiwe tena na lawama za mtu kuonewa.
Sukuma gang watapingaWale ndugu almaarufu "stupid people" mambo iko huku:
View attachment 2582521
Kwa aliyetajwa na CAG sasa ni suala la muda tu.
Aungurumapo simba mcheza nani?
Pascal hana la kuongea zaidi ya kummwagia sifa marehemu
Mwanzo wa ngoma ni leleMimi nasubiri kuona
Aseee! Ni kutoka jikoni?MWIGULU MWIGULU MWIGULU popote ulipo usifanye sherehe yoyote maana Kuna mkeka unakuja
Kadogosa ni sukuma gangWale ndugu almaarufu "stupid people" mambo iko huku:
View attachment 2582521
Kwa aliyetajwa na CAG sasa ni suala la muda tu.
Aungurumapo simba mcheza nani?
We huna akiliInashangaza sana, kwanini Rais anawaagiza makatibu wakuu na watendaji wakuu wahakikishe wanapitia ripoti na kuwawajibisha wale waliohusika na uzembe?
Yeye kama Rais anachukua hatua gani kwa hao wakuu waliosimamia huo uzembe wakiwemo mawaziri?
Alichokifanya Rais hapo ni sawa na kufunika kombe mwanaharamu apite, sioni jipya.
Hii ungepeleka kule fb[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji848][emoji850][emoji55][emoji55][emoji55][emoji55]View attachment 2582535
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Kumbukumbu zako ziko vizuri kweli????Bora huyu kuliko Kikwete.
JK sidhani kama alichukua hatua yoyote
Kiukweli sikumbuki vizuri.Kumbukumbu zako ziko vizuri kweli????
Unamjua inshu za Richmond iptl ziliibuliwa na RIPOTI ya nani na kipindi gani????
Kipindi Cha jk ofisi ya CAG ndo angalau ilianza pewa bajeti kubwa na kupewa angalau meno japo hayang'ati vizuri Hadi Sasa hivi