Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Internal Affairs
Basically, kuna intelligence security services ambapo mkuu wa Internal Affairs ndio wa muhimu sana kwa Rais kuliko mkuu wa umbrella nzima.
Pale Russia kuna Federal Security Services (FSB) ikihusika na ujasusi mambo ya ndani, kuna Main Intelligence Directorate (GRU) ambayo ni ujasusi wa kijeshi. Ujasusi wa nje ni Foreign Intelligence Services (SVR).

Kwa Putin, FSB na shirika lingine la ulinzi wa viongozi na ofisi za serikali ndio wa muhimu kwa ulinzi wake binafsi. Hawa GRU na SVR wanafanya kazi kitaifa zaidi na maadui wake ni wa nje hivyo wafanyakazi wake watafanya kazi tu as long as ni kutetea taifa dhidi ya adui wa nje.

Kwa Tz inavyokuwa, Lt. General Salim Haji Othman ambaye ni Chief of Staff wa TPDF kuna uwezekano mkubwa akaja kwa mkuu wa majeshi tofauti na mazoea tuliyonayo ya CoS hawi mkuu wa majeshi. Ukitazama umri wake, ukatazama umri wa General Mkunda unaona akistaafu huyu kuna mtu anaweza achukue nafasi hiyo. Then hapa tumempata Chief wa TISS akiwa wa kule, huyu alikuwa mkuu wa ujasusi wa ndani ambayo ni rank ya pili kwa TISS.
Kila kitu kikienda sawa tutajikuta na Raisi, mkuu wa majeshi na mkuu wa TISS wakitokea sehemu moja. Kwa hali hiyo kuvunja muungano hapo ni rahisi, unaweza kuta malengo ya Rais ni kuwa na watu anaowaamini karibu ila wanaweza jikuta wana common cause nje na utumishi wao kitaifa.

Nawaza tu lakini
 
Maadili,maadili na uadilifu ndio uzalendo

Huenda wapigaji na wanaowaza kupiga tu wakapunguzwa sana mpaka tukawa na Taifa lenye heshima na kupaa kiuchumi

Hebu muwe na upendo wa kutaka kufika juu kiuchumi kwa manufaa ya wote
Nchi hii kwani hata ikiaribika, ikafilisika, mambo yakawa mabaya wewe utaharibikiwa na nini??
Afta loo wewe si sehemu ya wanaomiliki hii nchi, wewe unadai uzalendo wenzio wanalamba asali??
Uzalendo upi unautaka
 
Asije kujaribu hili la kuvunja muungano ataishia kubaya hata kama ameteua wote kutoka kwao
 
Yote hayo ni kumpatia nafasi nyeti Mzanzibari, yana mwisho
 
Ameulamba kivipi?
 
Akili kubwa sana, jumlisha na katiba mpya.
 
Napongeza teuzi.
Naomba elimu kuhusu wstu ws Idara kupewa kazi za kiutendaji. Ina maana COVER ni kwenye operesheni pekee na siyo kwenye taswira?
 
Diwani Pi no 1, imekuwaje tena?
 
Ni kweli tuwaombee kwa Mungu wasije wakakengeuka...Its a critical moment kwa nchi...Maana tunaiendea njia ambayo ni mpya kwetu sote....Reforms!
Umeongea kitu flan hiv dah!!..
Ni kama umem quote mwalim mwakasege kwenye kitabu aliandika 2005 kina title "RAIS WA NCHI ANA SEHEMU KUBWA KATIKA UCHUMI WA MTU BINAFSI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…