Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Watanzania ni wazuri wa kulala na kutokusoma haya yanatokea yalisha semwa 2 years back. Nawengine walisha sema what is next... Keep silence keep pray hujuwi hujuwi ila Mungu ni wetu sote
 
Huko hawezi kurudi Tena .Hawezi kuaminika tena.
Kwanini maana TISS kazi yao ni kutoa taarifa tu na sio law enforcements wanawapa taarifa polisi, jeshi, viongozi mbalimbali kulingana na aina ya taarifa inamuhusu nani baasi
 
Promotion ya kutoka kuwa Karibu Mkuu kiongozi hadi kuwa balozi Marekani na wa kudumu UN?
KM ndio boss wa mabalozi wote
Nadhani immediate Boss wa Mabalozi ni Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje,ambaye Katibu Mkuu Kiongozi ndie Kiongozi wake...so...ingekua ni ligi ya soka,jamaa kashuka kutoka Daraja la kwanza hadi la tatu...but it is all semantics...yeye na Bashiru bado salary slips zao zinaweza zikawa sawa...
 
Huyu Katanga ndio alikuja kwa staili ya kutengeneza serikali yenye muunganiko na ufanisi katika utendaji wake? Binafsi sikuona mabadiliko chanya yoyote.
Inawezekana Kuna kazi ya kufanya huko UN Kuna vitu may be haviendi sawa,..kwenye Vita always mtapeleka mwanajeshi wenu mahiri..
Kuna dhana moja kua ukifanya vizuri sehemu bas ufie Hapo Hapo hii si sawa wakuu..
Mimi naamimi Kuna assignment balozi kattanga amepewa na mamlaka...
 
Nchi hii kwani hata ikiaribika, ikafilisika, mambo yakawa mabaya wewe utaharibikiwa na nini??
Afta loo wewe si sehemu ya wanaomiliki hii nchi, wewe unadai uzalendo wenzio wanalamba asali??
Uzalendo upi unautaka
Mtajijua wenyewe, mimi mchangiaji tu nilishaondoka huko mwaka wa 45.huu [emoji1] [emoji1787]
Muache wizi mtafika mbali
 
Uzuri wa watu hautokani na sehemu, ni hulka tu ya mtu. Huko zenj si ndio kulikua hadi na mazombi wanaotumwa kuua watu

Ooopss maalim huko si ndio kila uchaguzi alisema watu wake wanavuliwa

Anaweza kuwa mzuri sana lakini sio sababu ya uzanzibari wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…