Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
baraza la mawaziri na RC na Ma DC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia hujuwi kinacho endelea...Serikali inasukwa sasa..
Wewe ni kanjanja tu mbabaishaji huna ulijualo pia.Tulia hujuwi kinacho endelea...
Huko hawezi kurudi Tena .Hawezi kuaminika tena.Diwani angemrudisha police, kutujazia Active forces servicemen kwenye vyeo vya kiraia ni matumizi mabaya taaluma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za viongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam, leo tarehe 03 Januari, 2023.
Amesema “Mtakumbuka kuwa Novemba 2022, Bunge la Tanzania lilikuwa na mjadala mzito kidogo kuhusu matumizi ya fedha na madaraka katika ofisi zetu za Kibalozi zilizopo Nchi mbalimbali, Serikali inafanyia kazi kasoro zilizoelezwa ili kurudisha hadhi ya balozi zetu.
“Nimefanya mabadili katika ofisi ya Ubalozi iliyopo New York, ambayo inakuwa na Mwakilishi wetu wa kudumu katika Umoja wa Mataifa.
“Ofisi hii ni muhimu kwa Nchi yetu kwa kuwa ndio inatuwakilisha katika mambo yanayojadiliwa na mataifa na taasisi za kimataifa zilizo chini ya Umoja wa Mataifa Mjini New York.
“Ofisi yetu hiyo inahitaji mwanadiplomasia mahiri anayejua siasa za kimataifa, mzalendo kwa nchi yake na mtulivu wa hekima na busara.
“Hivyo nimeamua kumrudisha nyumbani Prof. Kennedy Gaston aliyeko Ofisi ya New York na kumpeleka Hussein Othman Kattanga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
“Kattanga anaenda kuiwakilisha Tanzania kama Balozi wa Kudumu huko New York.
“Nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi itajazwa na DKT. Moses Mpogole Kusiluka aliyekuwa Katibu Mkuu Ikulu.
“Nafasi ya Katibu Mkuu Ikulu itajazwa na Diwani Athuman Msuya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
“Nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa itajazwa na Said Hussein Massoro aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Shughuli za ndani za TISS.”
Kwanini maana TISS kazi yao ni kutoa taarifa tu na sio law enforcements wanawapa taarifa polisi, jeshi, viongozi mbalimbali kulingana na aina ya taarifa inamuhusu nani baasiHuko hawezi kurudi Tena .Hawezi kuaminika tena.
Umeelezea vizuri Sana..ila tafakari vizuri utanielewa why Hawezi Rudi Tena huko.Kwanini maana TISS kazi yao ni kutoa taarifa tu na sio law enforcements wanawapa taarifa polisi, jeshi, viongozi mbalimbali kulingana na aina ya taarifa inamuhusu nani baasi
Bado ni police na hajastaafu anaweza kurudi muda wowote na atastaafia jeshini (police) kama alivyofanya S. MwemaUmeelezea vizuri Sana..ila tafakari vizuri utanielewa why Hawezi Rudi Tena huko.
Nadhani immediate Boss wa Mabalozi ni Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje,ambaye Katibu Mkuu Kiongozi ndie Kiongozi wake...so...ingekua ni ligi ya soka,jamaa kashuka kutoka Daraja la kwanza hadi la tatu...but it is all semantics...yeye na Bashiru bado salary slips zao zinaweza zikawa sawa...Promotion ya kutoka kuwa Karibu Mkuu kiongozi hadi kuwa balozi Marekani na wa kudumu UN?
KM ndio boss wa mabalozi wote
Napongeza teuzi.
Naomba elimu kuhusu wstu ws Idara kupewa kazi za kiutendaji. Ina maana COVER ni kwenye operesheni pekee na siyo kwenye taswira?
Hivi tiss sio jeshi kumbe...Bado ni police na hajastaafu anaweza kurudi muda wowote na atastaafia jeshini (police) kama alivyofanya S. Mwema
Sio jeshi japo wana kina kada ndani yao kuanzia walimu, wajeshi, madaktari na kila takataka kulingana na wapi wanatafuta taarifaHivi tiss sio jeshi kumbe...
Inawezekana Kuna kazi ya kufanya huko UN Kuna vitu may be haviendi sawa,..kwenye Vita always mtapeleka mwanajeshi wenu mahiri..Huyu Katanga ndio alikuja kwa staili ya kutengeneza serikali yenye muunganiko na ufanisi katika utendaji wake? Binafsi sikuona mabadiliko chanya yoyote.
Una uhakika mkuu tiss sio jeshi rasmiSio jeshi japo wana kina kada ndani yao kuanzia walimu, wajeshi wote madaktari na kila takataka kulingana na wapi wanatafuta taarifa
Ahsante kwa ushauri ambao nakuahidi sitauzingatia.....Usipende kula hiyo kitu nguruwe ana minyoo mibaya kwa afya ya binadamu.
Mtajijua wenyewe, mimi mchangiaji tu nilishaondoka huko mwaka wa 45.huu [emoji1] [emoji1787]Nchi hii kwani hata ikiaribika, ikafilisika, mambo yakawa mabaya wewe utaharibikiwa na nini??
Afta loo wewe si sehemu ya wanaomiliki hii nchi, wewe unadai uzalendo wenzio wanalamba asali??
Uzalendo upi unautaka
Hao walioteuliwa unafikir walikua hawaonji? Au unafikiri wametokea mtaani?Panga pangua....... keki ya taifa kila mtu aonje
Uzuri wa watu hautokani na sehemu, ni hulka tu ya mtu. Huko zenj si ndio kulikua hadi na mazombi wanaotumwa kuua watuLakini binafsi naona huwa ni watu wazuri ,
Sizani kama utaona wananchi wakipigwa risasi na askari,
Tarajia kutosikia hayo,
Huwa wanapenda kuona au kusikia haki ikitendeka kwa watu,
Hawapendezwi na dhuruma na kuoneana.
Kama Kweli ni Mzanzibar basi tutarajie utendaji ulotukuka,
Tumuunge mkono na kum-support kwa juhudi ili tufukie malengo.
Tunasubiri Kwa hamu kubwa swala la Katiba Mpya ya JMT ,
Kwenye mambo ya msingi ya kuanza nayo kwenye checklist yako anza na Hilo na Tume huru ya uchaguzi.