Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Balozi awe juu ya katibu mkuu kiongozi? Unamaanisha hadi hoyce temu, polepole, togolani n.k wapo juu ya katibu mkuu kiongozi? Balozi boss wake ni katibu mkuu wizara ya mambo ya nje.Basically sio Demotion ni heavy promotion hiyo
Unajua vyeo vyao kama ni jeshi 🤣🤣🤣🤣 halafu bosi wao anaitwa mkurugenzi,Una uhakika mkuu tiss sio jeshi rasmi
Mkurugenzi Usalama wa Taifa mpaka Katibu Mkuu ni kupanda au kushukaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za viongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam, leo tarehe 03 Januari, 2023.
Amesema “Mtakumbuka kuwa Novemba 2022, Bunge la Tanzania lilikuwa na mjadala mzito kidogo kuhusu matumizi ya fedha na madaraka katika ofisi zetu za Kibalozi zilizopo Nchi mbalimbali, Serikali inafanyia kazi kasoro zilizoelezwa ili kurudisha hadhi ya balozi zetu.
“Nimefanya mabadili katika ofisi ya Ubalozi iliyopo New York, ambayo inakuwa na Mwakilishi wetu wa kudumu katika Umoja wa Mataifa.
“Ofisi hii ni muhimu kwa Nchi yetu kwa kuwa ndio inatuwakilisha katika mambo yanayojadiliwa na mataifa na taasisi za kimataifa zilizo chini ya Umoja wa Mataifa Mjini New York.
“Ofisi yetu hiyo inahitaji mwanadiplomasia mahiri anayejua siasa za kimataifa, mzalendo kwa nchi yake na mtulivu wa hekima na busara.
“Hivyo nimeamua kumrudisha nyumbani Prof. Kennedy Gaston aliyeko Ofisi ya New York na kumpeleka Hussein Othman Kattanga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
“Kattanga anaenda kuiwakilisha Tanzania kama Balozi wa Kudumu huko New York.
“Nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi itajazwa na DKT. Moses Mpogole Kusiluka aliyekuwa Katibu Mkuu Ikulu.
“Nafasi ya Katibu Mkuu Ikulu itajazwa na Diwani Athuman Msuya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
“Nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa itajazwa na Said Hussein Massoro aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Shughuli za ndani za TISS.”
Hongera ipi huku hiyo ni demotion.Hongera Sana DIWANI kwa kurudishwa IKULU.
Possibly itawezekana maana mvua zimenyesha sana na wakati huo jamaa zetu Wanasiasa wanaingia mtaani kupoza njaa za chawa wao.Haya mabadiliko yatateremsha bei ya maharage kilo sh. 4500 hali mbaya huku mitaani.
Siyo kwamba ameliwa. Kutoka kuwa mkurugenzi wa TISS hadi kuandaa mafaili ya rais??Diwani ameulamba,
Vyote sawa ni kulitumikia Taifa.Hivi kwenye hizo panga pangua, nani kapanda chati nani kawa demoted
Sasa wewe kwa uwezo wako wa kufikir unadhani tunaweza kujiudumia bila misaada.?Yani tutegemee neeema kwa kusubiri misaada ya wazungu? Kweli ngozi nyeusi Ni manyani.
DemotionKwa katibu mkuu kiongozi hiyo ni demosion wakuu Usalama nani kala kitengo
Kuna kosa kubwa lilifanyika wakati anaimgia Ikulu. Bora ameliona sasa. Mama anahitaji timu itakayomsaidia. Sio kuharibu mambo, na kufanya watu kuanza kuchukia uongozi.Serikali inasukwa sasa..
Sio mbaya kujitekenya na kucheka...hiyo ni demotion. Badala ya kuchagua watu, wewe unachaguliwa na kukaguliwaPromotion ya kutoka kuwa Karibu Mkuu kiongozi hadi kuwa balozi Marekani na wa kudumu UN?
KM ndio boss wa mabalozi wote
Diwani ni demotion piaBusiness as usual,sijaona Cha maana,zaidi ya watu kupata ulaji tu,
Katanga amekosea nini?kutoka kuwa katibu mkuu kiongozi(mkuu wa wa watumishi wote serikali kuu) kwenda kuwa balozi tu!!!
Diwani ameulamba,
Hoyce Temu vipi,na madudu yake Bado hajatumbuliwa tu
Sifa na dharau na wizi alioufanya akiwa mahakama zimemponzaKatanga kala demosion ndani ya mda mfupi sana.
Ngoja tuone Kusiluka atafika wapi na huyu mama.. ukiona hivyo kuna mafaili hayaendi pale Ikulu.
Hovyo kabisa wewe jamaa yaani unawaza kula tuuHaya mabadiliko yatateremsha bei ya maharage kilo sh. 4500 hali mbaya huku mitaani.
Ameliwa ili anyooshwe zaidiSiyo kwamba ameliwa. Kutoka kuwa mkurugenzi wa TISS hadi kuandaa mafaili ya rais??
Unajua vyeo vyao kama ni jeshi 🤣🤣🤣🤣 halafu bosi wao anaitwa mkurugenzi,
Kwaio unataka kufananisha TISS na FBI? maana hata CIA ni informants tu japo wana mafunzo ya kila namna, kuna taarifa zitafanyiwa kazi na wanasiasa zingine Jeshi kutegemeana na aina ya taarifa na mlaji wa hio taarifa ni nani
Mkuu Mimi nimekuuliza tiss sio jeshi rasmi Hilo ndo suala langu..Unajua vyeo vyao kama ni jeshi 🤣🤣🤣🤣 halafu bosi wao anaitwa mkurugenzi,
Kwaio unataka kufananisha TISS na FBI? maana hata CIA ni informants tu japo wana mafunzo ya kila namna, kuna taarifa zitafanyiwa kazi na wanasiasa zingine Jeshi kutegemeana na aina ya taarifa na mlaji wa hio taarifa ni nani
Ndio sio JeshiMkuu Mimi nimekuuliza tiss sio jeshi rasmi Hilo ndo suala langu..