Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nimecheka sana ila jitahidi ipo siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia ukiwa wapi huko? Umebeba vidonge vya Maumivu?PUUZIENI HUU UJINGA NILICHOKIONA NI WANANCHI WAMEJIKUNYATA HATA HAWAPIGI MAKOFI WALA KUSHANGILIA, YANI NI WATU WA SOUND WANAWEKA ZILE SOUND ZA NYUKI. NAKWAMBIA 2025 KAZI MNAYO DADEKI MTAIBA SANA
Kwa uchawa huu usipopata uteuzi unaweza kuwa na tatizo kubwa la mental health! Mungu akusaidie upate uteuzi, upumzike uchawa!!Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika,basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha.Mama anakubalika haijapata kutokea,.Leo amefanya watu washindwe kujizuia machozi na kujikuta wakilowa Mashavu kwa machozi ya furaha, baada Ya Mama yetu mpendwa Mama Samia kupiga Simu moja kwa moja uwanja wa Tauf akiwa kajaa tabasamu na furaha na kuongea na wana Yanga waliofurika na kumiminika kwa wingi kama maji ya bahari.
Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.Ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Rais Samia kwa hakika ndiye kashikilia furaha ya wananchi wa Nchi hii.ni dawa kwa wenye maumivu na wagonjwa.Ni tiba tosha kwa wenye msongo wa Mawazo.Ni Tumaini kwa waliokata Tamaa. hakuna kama Mama Samia Hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Mama anapendwa sijapata kuona katika Maisha yangu.Nimecheka sana ila jitahidi ipo siku
KabisaMama anapendwa sijapata kuona katika Maisha yangu.
Mimi naandika ukweli na siyo kutafuta uteuzi.Mama anapendwa mpaka Watu wanashindwa kujizuia machozi.Kwa uchawa huu usipopata uteuzi unaweza kuwa na tatizo kubwa la mental health! Mungu akusaidie upate uteuzi, upumzike uchawa!!
Mama ni Mpango wa Mungu MwenyeweAwabubujisha machozi ya furaha🤣🤣🤣🤣🤣
Labda wewe ndio unatokwa machozi ya uchungu kwa kusutwa na watu kwa umbea na uchonganishi wako.Na wale wanaotokwa na machozi ya uchungu pia mwambie mama pia nao wanataka kutoa machozi ya furahaa....mzinga tuanachonga wote Kwa tabu iwejee asali ale na wachachee
Unamshauri nani?Mi nashauri samia abaki hadi 2035 anayofanya kwa kweli ni makubwa sana kwa nchi yetu tuache chuki tuongee ukweli ni msikivu ,mwenye huruma na mpenda maendeleo
Wananchi wazalendo wa jamhuri ya muungano wa tanzaniaUnamshauri nani?
Hakika watu walijaa na nyuso za furaha na amani, mama, chief angaya, mh daktari amri jeshi Rais Samia Suluhu anatosha.Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika,basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha.Mama anakubalika haijapata kutokea,.Leo amefanya watu washindwe kujizuia machozi na kujikuta wakilowa Mashavu kwa machozi ya furaha, baada Ya Mama yetu mpendwa Mama Samia kupiga Simu moja kwa moja uwanja wa Tauf akiwa kajaa tabasamu na furaha na kuongea na wana Yanga waliofurika na kumiminika kwa wingi kama maji ya bahari.
Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.Ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Rais Samia kwa hakika ndiye kashikilia furaha ya wananchi wa Nchi hii.ni dawa kwa wenye maumivu na wagonjwa.Ni tiba tosha kwa wenye msongo wa Mawazo.Ni Tumaini kwa waliokata Tamaa. hakuna kama Mama Samia Hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Wewe ndo unaumiaUnaumia ukiwa wapi huko? Umebeba vidonge vya Maumivu?
Wananchi wazalendo ni wale wanaoheshimu katiba.Wananchi wazalendo wa jamhuri ya muungano wa tanzania
Yanga Bingwa ,Mitano Tena.Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika,basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha.Mama anakubalika haijapata kutokea,.Leo amefanya watu washindwe kujizuia machozi na kujikuta wakilowa Mashavu kwa machozi ya furaha, baada Ya Mama yetu mpendwa Mama Samia kupiga Simu moja kwa moja uwanja wa Tauf akiwa kajaa tabasamu na furaha na kuongea na wana Yanga waliofurika na kumiminika kwa wingi kama maji ya bahari.
Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.Ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Rais Samia kwa hakika ndiye kashikilia furaha ya wananchi wa Nchi hii.ni dawa kwa wenye maumivu na wagonjwa.Ni tiba tosha kwa wenye msongo wa Mawazo.Ni Tumaini kwa waliokata Tamaa. hakuna kama Mama Samia Hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Labda wewe ndio unatokwa machozi ya uchungu kwa kusutwa na watu kwa umbea na uchonganishi wako.
[/QUOTE😅😅😅😅😅 au cyoo...
katiba yetu haitovunjwa ila ikiwezekana itafanyiwa amendmentWananchi wazalendo ni wale wanaoheshimu katiba.
Kwanini wewe unawashauri dhidi ya katiba yetu?