Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

Ndugu zangu Watanzania,

Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika,basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha.Mama anakubalika haijapata kutokea,.Leo amefanya watu washindwe kujizuia machozi na kujikuta wakilowa Mashavu kwa machozi ya furaha, baada Ya Mama yetu mpendwa Mama Samia kupiga Simu moja kwa moja uwanja wa Tauf akiwa kajaa tabasamu na furaha na kuongea na wana Yanga waliofurika na kumiminika kwa wingi kama maji ya bahari.

Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.Ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.

Rais Samia kwa hakika ndiye kashikilia furaha ya wananchi wa Nchi hii.ni dawa kwa wenye maumivu na wagonjwa.Ni tiba tosha kwa wenye msongo wa Mawazo.Ni Tumaini kwa waliokata Tamaa. hakuna kama Mama Samia Hapa Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
uchawa
 
Braza anzisha shule ya uchawa utapiga sana pesa. Kama ile shule ya uongozi ya Polepole, wewe jikite kwenye uchawa, namna ya kusifu tu. Usisahau kunipa 10% ya kukupa wazo
 
Back
Top Bottom