Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

Kwa uchawa huu usipopata uteuzi unaweza kuwa na tatizo kubwa la mental health! Mungu akusaidie upate uteuzi, upumzike uchawa!!
 
Kwa uchawa huu usipopata uteuzi unaweza kuwa na tatizo kubwa la mental health! Mungu akusaidie upate uteuzi, upumzike uchawa!!
Mimi naandika ukweli na siyo kutafuta uteuzi.Mama anapendwa mpaka Watu wanashindwa kujizuia machozi.
 
Na wale wanaotokwa na machozi ya uchungu pia mwambie mama pia nao wanataka kutoa machozi ya furahaa....mzinga tuanachonga wote Kwa tabu iwejee asali ale na wachachee
Labda wewe ndio unatokwa machozi ya uchungu kwa kusutwa na watu kwa umbea na uchonganishi wako.
 
Mi nashauri samia abaki hadi 2035 anayofanya kwa kweli ni makubwa sana kwa nchi yetu tuache chuki tuongee ukweli ni msikivu ,mwenye huruma na mpenda maendeleo
Unamshauri nani?
 
Hakika watu walijaa na nyuso za furaha na amani, mama, chief angaya, mh daktari amri jeshi Rais Samia Suluhu anatosha.
 
Yanga Bingwa ,Mitano Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…