Pre GE2025 Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu

Pre GE2025 Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Pia, Rais Samia amepata fursa ya kuzungumza na watoto hao.

IMG_3352.jpeg

photo-output.png

IMG_3351.jpeg
 
Sometimes yes tuna bonge la rais unampenda kwa kumuonea huruma lakini sometimes roho inakataa kabisa ukiiwaza

Bandari
Madini
Unaona kama vile Kuna vitu vya msingi maza Huwa anavisahau..
Mbona kama tulishafikia hatua nzuri under JPM KUHUSU KUKABA KODI KWENYE RASILIMALI WHAT'S HAPPENED MAZEE.. anyway me Nina kuku zangu nafuga Sina habari na Imani nao watanipa mali hapa hapa tz..
 
Naunga mkono hoja....

Mh.Rais Samia ni " chief comforter of the nation"....

Ameitendea haki aya isemayo "....Lissaili wal MAHRUMI....".....kutoa sadaka kwa AOMBAYE na ANAYEJIZUILIA KUOMBA....
 
Back
Top Bottom